Huyu mwanamke ana maanisha nini?

Huyu mwanamke ana maanisha nini?

ninacho amini mimi......mwanamke akikwambia mtoto sio wako......hakika sio wako kweli.....achana nae....ktk hili huwa hawabahatishi kabisa wanajua nini madhara yake.......so elewa kabisa ulikuwa mshika pembe wewe....maziwa wanywa wajanja..........mwana si wako rudi kwa mkeo kachungue na wale pia........inaitwa keep-left no U turn!!!
 
  • Thanks
Reactions: a45
Mipango ilikuwepo,kuwa dini yetu inaruhusu ,hapo baadae baada ya kumaliza chuo tungeoana maana na dini inaruhusu,ndo akafika chuo akabadilika
Mpaka hapo ushaonekana hauko assertive.

Kwenye Kiswahili hakuna kuoana mtu mke na mtu mume. Mtu mume anamuoa mtu mke.

Ttaizo umetafuta kuoana ndiyo maana unakuwa na sintofahamu hii.
 
Kuna umuhimu wakuwa tunaweka kumbukumbu za kina Dada kuhusu kauli zao au jumbe zao ili pindi wakileta upuuzi tunawaonyesha then tunafunga vioo mazima.
 
Kuna mambo mwanaume kuomba ushauri ni kujidhalilisha
 
Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kuwa na mahusiano na binti mmoja ingawa kipindi hicho nilikuwa nina mke wangu

Katika kudate kwetu nilimuweka wazi, kuwa ingawa tupo kwenye mahusiano ila ujue nina mke,akasema haina shida

Katika mahusiano yangu na yake tulifanikiwa kupata mtoto,ambapo hata kadi ya clinic jina la mtoto ,baba wa mtoto aliandikwa ni Mimi

Baada ya miezi tisa huyu mwanamke alienda masomoni,akiwa masomoni,kwa kweli alipunguza mahusiano na Mimi,awali amejiunga na chuo nilikuwa naenda kumuona ila baadae nikaona kuna dalili ya jamaa kuchukua nafasi
Nilipofuatilia mbona unafanya hivyo na tumezaa mtoto,akasema mtoto sio wangu,niachane nae

Ikabidi nikae pembeni,baada ya miaka 2, huyu mwanamke siku moja akanitumia SMS kuwa,"Baba fulani(jina la mtoto wake) hata kumjulia hali mwanao hamna,miaka hiyo yote jamani!

Nimeshindwa nimjibuje huyu mwanamke
Usishangae brother always huwa wanarudi kaka. "They always come back" mwanamke anae kuacha kwa dharau na kejeli sikuzote huwa wanarudi. Na kurudi kwao ndio hivyo vi sms vya kujarib kujua kama unaingilika au bado unampenda.

Dawa yako mpotezee tu, huko alipokuwa mambo yamebuma ndio anakutafuta leo. Usingie katika huo mtego. Mpotezee.

Halaf na ww embu acha michepuko bro.. yaan una mke wako halaf mchepuko anakuendesha.. kwann unajitesa?
 
Yaani miaka yote hiyo bado ulikuwa na namba yake?Wewe mjibu"WIFE INA MAANA UMESAJILI LINE NYINGINE NDIO MAANA UNATAKA KUNIFANYIA SURPRISE?MWANANGU GANI TENA WAKATI TULIKUWA NAO WOTE ASUBUHI,KAMA UNA MPANGO WA KUNIKAMATA KAMA NINA MCHEPUKO HUNIPATI NG'OOOO,NAKUPENDA MKE WANGU,NA WEWE UKUWA NA LINE MPYA UNAPENDAGA KUNIFANYIA SURPRISE,NIISEVU KWA JINA GANI HII LINE YAKO MPYA?LOVE YOU TUTAONANA JIONI.Jifanye hiyo namba imekuja kwako kama mpya,na jifanye aliyekutumia hiyo meseji ni mke wako halisi
 
Akunyimae kunde,,,,,,,, shida yako ni nini sasa.
 
Una mke afu ukaamua kuzaa nae pambana tu ndugu damu yako hyo
 
hiki kizazi kinaandamwa na watoto kukosa malezi ya baba.Hapo kama kawa wanawake kutumia watoto kwa manufaa yao binafsi.
 
Boom limeisha + anko magu lazma anyooke tu
Tegemea meng zaid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom