Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,153
- 1,732
......kama kwa ufundi mkubwa namna hii.
Ufundi wa kuongea kiingereza au ufundi upi unamaanisha?
Ufundi wa kuongea kiingereza au ufundi upi unamaanisha?
🤣🤣🤣Tafuta anaejua kupika, huyo mbakizie jukumu lake la kunyonya mbloo.
Wanasema uwezi pewa vyote mkuu kuna pisi kitandani sio mvivu ila huku duniani ana kauvivu sana.Chagua 1.
1. Mpishi mzuri ufundi zero.
2. Fundi wa kula koni, we ukale mgahawani.
Wapo ambao kwenye pishi wako supa, kwenye kugegedana nako hatari..Wanasema uwezi pewa vyote mkuu kuna pisi kitandani sio mvivu ila huku duniani ana kauvivu sana.
Alafu kuna wale vyote hakuna ila shepu na uzuri kajaaliwa ila mengineyo zero.Wapo ambao kwenye pishi wako supa, kwenye kugegedana nako hatari..
Unakuta ana changamoto nyingine tu jambo ambalo ni kawaida, lakini kwa bed na kwingine huko ni hatari.
Hao ni wa show.. unsonekana na demu mkali, lakini hana cha maana mkiwa wawili zaidi ya maonesho mbele za watuAlafu kuna wale vyote hakuna ila shepu na uzuri kajaaliwa ila mengineyo zero.