Huyu mwanamke ameniroga,,,

Mbali ya kwamba ana kitambi ana maneno machafu/maandishi huyo mwanamke aliye nae ana kazi sanaa.

Si mpaka awe nae huyo mwanamke πŸ˜‚πŸ˜‚ maana kuvumilia mwanaume asieheshimu wanawake ni kipaji! Ataishia kuwabadilisha km nguo hakuna atakaedumu nae kwa domo lake chafu
 
Si mpaka awe nae huyo mwanamke πŸ˜‚πŸ˜‚ maana kuvumilia mwanaume asieheshimu wanawake ni kipaji! Ataishia kuwabadilisha km nguo hakuna atakaedumu nae kwa domo lake chafu
Fact
 
Mengine kama hayo maziwa kulala na tumbo kuwa na makunyanzi yanakuja kama matokeo ya kuzaa kwa hiyo mke wako utamkimbia kisa amekuwa hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangapi wamezaa WATOTO KIBAO na bado wanajipenda? na hapa hatuzungumzii Mke,,tunazungumzi mwanamke umeokota barabarani unataka KUGEGEDA,,,pia hata kama ni Mke,,, kwann HUJIPENDI? kwani KUZAA ndy mwisho wa KUJIPENDA? kuzaa ndy ukaribishe KITAMBI? kuzaa ndy USHINDE NA DERA WEEK NZIMA? bila kubadilisha? Mwanamke kama hajipendi kwngu ni LAPULAPU tu....UKWELI MCHUNGU. , mambo hayo ndy yanafanya WANAUME watafute VIMADA NJE.,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ukiwa naye unajiona De Bruyne alafu ugenini Amri kiemba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tembea na kufuniko cha bia mfukoni hakuna pepo litakufata

In short umewekewa kibofu cha panzi [emoji23][emoji23]

Shahidi Mshana Jr
 
Mkuu mbona hueleweki sms yako ya kwanza umekosoa maumbile hii unazungumzia uchafu point yako iko wapi kwani πŸ€”?
 
Kusimama kwa uume kupo kwenye kichwa chenye ubongo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee we jamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakutukana kimoyomoyo sema hujui tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu utaunguzwa mzee. Huyo ni malaya my be ndo maana hukudindisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hapa unazungumzia uchafu wakati kule ulizungumzia maziwa kulala na tumbo kuwa na makunyanzi....halafu mtu kuwa na hayo maumbile haimaanishi hajipendi au ni mchafu Bali ni mambo yanayotokea tu baada ya kuzaa mengine hayatatuliki hata kwa mazoezi...ila usijali mke wako hatakuwa hivo hata akizaa watoto sita bado atakuwa fresh tu kama bint mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona hueleweki sms yako ya kwanza umekosoa maumbile hii unazungumzia uchafu point yako iko wapi kwani [emoji848]?
Issue tunazungumzia MWANAUME kukosa HAMU YA TENDO na mwanamke,,, hiyo ndy LENGO LA MLETA UZI,,,nikaeleza ktk comment yangu ya kwnz ni MAUMBILE,,,halafu kuna MTU akani quote,,, nikamjibu,,kama nilivyojibu,,lakini ALL IN ALL MAUMBILE ,, na hata UCHAFU pia ni tatizo ,,, na yote yanapelekea KUKOSA HAMU YA MAPENZI...nilieleza kwamba kuna wanawake wamezaa na bado wapo vizuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sikuelewi
 
Mkeo maziwa yakianza kulala utaoa mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…