Huyu mwanajeshi ananichanganya

MBNA unanchukulia poa msee? Kama huna ushauri syo lazma uandike upmbav wako hapa sipo after money kama ulivyokariri am taking about relationship!

Punguza hasira si umeomba ushauriwe? Sasa kama haupo after money huyo mwanajeshi anakijali kwa lipi? Hebu funguka bila hasira.
 

mpe uchi ajilie ndo utajua kama anakupenda kweli. bila hivyo huwezi jua kamwe maana madume yanapritend kinoma
 
Ww mpe halafu ukiachwa na mchumba wako ndio utajua anajali au lah...na lazima uachwe tu kisha uje hapa kuponda wanaume hawaeleweki maana ndo zenu...
 
Tabia za wadada zinashangaza sana. Anapotaka kumpiga chini mchumba wazamani anaanza kumsifia huyo anaemwita mpya. Sasa huyu ameshaamua ila anataka tuhalishe mpango wake wa kumutema huyo boy wake wa zamani. Dada endelea na mpango wako kwani mapenzi yalipo kua yanaanza na huyo wa zamani ulimsifia eti anajali na anaupendo wa dhati. Umempata mpenzi mpya for a month umeshajua ana care kuliko yule ulie kua nae kwa kipindi kirefu. Dada mi najua huna jipya Kwani ni kawada yako we mpokee mjeda tu.
 
Kuwa makini tu dada yangu.. mapenzi huishaga.. usiteme bigijii kwa karanga za kuonjeshwa..
 
Tyta duh we noma nina mashaka sana kuwe wewe ni TISS
 
Last edited by a moderator:
Huna lolote hapo unashida zako za pesa ndo unaanza kujipendekeza kwake coz jamaa yako mambo yameyumba kidogo ndo unamsaliti kama si umalaya ni nn mvumilie uliye anza nae mbali mungu atawabariki na mtafanikiwa lkn kwa ivo unaovyotaka kufanya kamwe hutofanikiwa lengo lako
 
Mtoa mada katoweka kimyaaaa!!! ameandamwa mpaka kashika adabu nadhani mpaka mwaka huu uishe hataonekana na vi thread vyake vya kijinga jinga asante tyta,,, kwa kufanya hivyo huenda mada za ovyo zitapungua humu.
 

bongo mademu waigizaji wamekuwa wengi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…