Huyu mwanajeshi ananichanganya

Huyu mwanajeshi ananichanganya

loyda

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
436
Reaction score
128
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu
 
Habari wana MMU
Msishangae naandka nn hapa bado npo kitandan najivuta kuamka nkatafute ulaji Lkn
Ucku Wang haukuwa mzur!kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae n kama mwezi kiukwel nkwamba anadai ananpnda sana,lakin nilimwambia nna mchumba anadai yupo tyari kwa lolote mrad nije kuwa mkewe, mwanzo sikuwa hata nawazo nae ila cku mbili hizi nmejikuta nampnda sana hta ucku clali namuwaza had basi!
Anaonesha anajali kuliko mchumba Wang
Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

Usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa.
 
Hahahaa!
Unawajua tabia za jwtz,polisi,nurse?
Tena kama ni mzenj jiandae kabisa kuzibuliwa choo
 
Yaani unataka jamii hapa JF ikuamulie mapenzi yako na wala sio kutumia ubongo na moyo wako? Je siku akichepuka na kuishia utakuja kuomba ushauri tena ufanyaje?

Jibu ni [(akili zako + busara zako)/Moyo wako] = Upendo wa kweli -(Risk ya jamaa kuchepuka x Kudanganyana)
 
Habari wana MMU
Msishangae naandka nn hapa bado npo kitandan najivuta kuamka nkatafute ulaji Lkn
Ucku Wang haukuwa mzur!kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae n kama mwezi kiukwel nkwamba anadai ananpnda sana,lakin nilimwambia nna mchumba anadai yupo tyari kwa lolote mrad nije kuwa mkewe, mwanzo sikuwa hata nawazo nae ila cku mbili hizi nmejikuta nampnda sana hta ucku clali namuwaza had basi!
Anaonesha anajali kuliko mchumba Wang
Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu
Nimeghairi, .... jinsi unavyoandika.
 
Halafu huyu loyda huyu?!
Hebu Tyta uje hapa au MO11 ujongee hapa
 
Last edited by a moderator:
Habari wana MMU
Msishangae naandka nn hapa bado npo kitandan najivuta kuamka nkatafute ulaji Lkn
Ucku Wang haukuwa mzur!kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae n kama mwezi kiukwel nkwamba anadai ananpnda sana,lakin nilimwambia nna mchumba anadai yupo tyari kwa lolote mrad nije kuwa mkewe, mwanzo sikuwa hata nawazo nae ila cku mbili hizi nmejikuta nampnda sana hta ucku clali namuwaza had basi!
Anaonesha anajali kuliko mchumba Wang
Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

Alafu ukiwa nae unadhani hatofikiria kuwa bado una uhusiano na mchumba wako wa sasa?? Anataka papuchi tuu. Ndani ya mwezi! Huo muda mdogo sana!
 
Ujue ndio maana mkiambiwa wanawake hamna msimamo msilalamike. Its just that there is no certainty when dealing with you guys.
Anajali kuliko mchumba kwani unawashindanisha? (Maslahi na ndoa ni vitu tofauti dada)
Kwa hiyo unahangaika hadi upate anayekujali kuliko wote duniani ndo akuoe?
Kujali unakutafsirije wewe? Kwa sababu mimi nikiwa nakupa 10,000/= akaja anayekupa 100,000/= si kwamba anajali kuliko mimi, labda ndo uwezo wake? na ukiniacha kwa ajili yake akaja wa kutoa 1M?
Hebu malizia kulala halafu uje uandike tena kwa kweli...Manake hizi stress za kwenda kugombea daladala inawezekana zishakuvuruga asubuhi asubuhi
Anaonesha anajali kuliko mchumba Wang
Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu
 
Kipimo ulichokitumia si sahihi...ni mwezi tu umekutana na huyo mjeda..ndani ya mwezi mtu kuonyesha anakujali au anakupenda si ishu sana kama kuna kitu anakitaka toka kwako. Kuwa makini na maamuzi yako usijeyajutia baadae.

NB: Fanya uolewe na umpendae uache kuhangaika
 
Ujue ndio maana mkiambiwa wanawake hamna msimamo msilalamike. Its just that there is no certainty when dealing with you guys.
Anajali kuliko mchumba kwani unawashindanisha? (Maslahi na ndoa ni vitu tofauti dada)
Kujali unakutafsirije wewe? Kwa sababu mimi nikiwa nakupa 10,000/= akaja anayekupa 100,000/= si kwamba anajali kuliko mimi, labda ndo uwezo wake? na ukiniacha kwa ajili yake akaja wa kutoa 1M?
Hebu malizia kulala halafu uje uandike tena kwa kweli...Manake hizi stress za kwenda kugombea daladala inawezekana zishakuvuruga asubuhi asubuhi

MBNA unanchukulia poa msee? Kama huna ushauri syo lazma uandike upmbav wako hapa sipo after money kama ulivyokariri am taking about relationship!
 
We mbona toka juzi ulivyohamisha penzi tayari ni POA?
Calm down, usipanik. Umetaka ushuriwe kitulize ushauriwe. Anakujali kivipi kuliko huyo uliye naye?
MBNA unanchukulia poa msee? Kama huna ushauri syo lazma uandike upmbav wako hapa sipo after money kama ulivyokariri am taking about relationship!
 
MBNA unanchukulia poa msee? Kama huna ushauri syo lazma uandike upmbav wako hapa sipo after money kama ulivyokariri am taking about relationship!

Huyo mchumba wako naye umekaa nae muda gani? Hapo kwenye red, ndani ya mwezi 'ameshakupagawisha?' Nina uhakika ukiwa na huyo mzenji, atatokezea dume lingine na 'atakujali' zaidi ya huyu mzenji. Utafanyaje? Eidha haujitambui bado una yale mambo ya puppy love au una bahatisha bahatisha. Kuwa na msimamo na mapenzi ya kweli hayapimwi ndani ya mwezi.
 
Halafu huyu loyda huyu?!
Hebu Tyta uje hapa au MO11 ujongee hapa

... loyda..ni shida...
ana visa. lukuki..
[h=3]Nimeshuhudia shem akisaliti[/h] Started by loyda, 6th July 2014 15:45
[h=3]Nifanyeje kuhusu ili?[/h] Started by loyda, 8th July 2014 18:37

[h=3]Hii ipoje wapendwa[/h] Started by loyda, 23rd July 2014 09:01

[h=3]Nisaidieni wakuu hapa nimevurugika[/h] Started by loyda, 23rd August 2014 14:35
[h=3]Wadada wenzangu kama ni wewe unakutana na hali hii unaimalizaje?[/h] Started by loyda, 15th October 2014 16:54
[h=3]Sina raha baada ya ku-misplace Ipad niliyopewa zawadi na mpenzi wangu[/h] Started by loyda, 28th October 2014 13:06
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom