Huyu mwanafunzi nimfanyeje?

Kwani ukiacha kupokea simu zake (kama huna mpango naye) utapoteza nini?
 
We susa lakin kaa ukijua wako wanaomfumua kila siku.Dent anataka kulipa fadhila ya lifti kwa kukupatia papuchi we hutaki?
 
hahaaa form six mbona mkubwa hivyo, kula vitu ww alafu sepa asikugande.
 
Unataka aridhike......saikolojia yako inatema unataka umgegede.
 
Hadi sasa kuna story za washkaji kama 6 hivi kuhusiana na huyo mtoto , wengine aliwaomba namba, wengine waliomba namba àkawapa baada ya lift.Nahisi huyo binti atakuwa aidha agent wa kuzimu au anakaeneza kale kaugoñjwa cha kinga.

My advice: Sikiliza moyo wako
 
Unanyota ya jela,usithubutu kumpigia itakua ushahidi,atageuza kesi kua umemtongoza utaishia pabaya,acha hizo habari,aibu haipo mbali
 
Yaan vijana wasikuhizi badala yakuomba ushauri kwa mambo ya msingi kama biashara n.k. Eti binti wa form 6 ananisumbua naomba ushauri nifanyaje...pumvaaav.
 
Kumbe una gari eeenh....cha kushangaza hapa JF kila mtu ana gari na kila mtu ana elimu ya chuo kikuu.dah,aiseee.

aahhaaaaa, watu wanaishi maisha fake.
 
Kudadeki mtoto wa kike mdogooo anakupelekesha mtu mzima hadi unakuja kuomba ushauri na akikukamata sasa si ndo utajimurder.... Huyo denti akomae hivo hivo make kishakuelekeza qibla soon atakuchinja

Kuna mwandiko nikishauona tu najua chenga!

Hasa hasa huu wa kila neno kuanza na herufi kubwa.
 
Acha Ufala and wacha kutuona sisi ni mazumbukuku!!!!

WEWE ULIPOKUWA UNAMPA LIFTI HUKUONA KWENYE SEAT KUNA KITU?!!!! AU ULIWEKA HAPO KIMAKUSUDI KABISA UKIFAHAMU KWAMBA ATAICHUKUA AANZE KUKUTAFUTA?????????????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…