- Thread starter
- #61
Ebu Elewa Mada Husikurupuke Kulaumu.Denti Mwenyewe Ndo Analazimisha Agongwe.Mwalimu Kosa Lake Liko Wapi?
atante ndugu manake mm sijamtongoza
Ebu Elewa Mada Husikurupuke Kulaumu.Denti Mwenyewe Ndo Analazimisha Agongwe.Mwalimu Kosa Lake Liko Wapi?
Hakuna sheria yeyote inayosema ukichapa mwanafunzi unafungwa,acha kupotosha
kaz kwel kwel watu wana hasira na papuchi za watoto jaman kaaaacheee we mwalim mshinde shetaniii
Sijakurupuka ila nasimama sehemu yangu,
Huyo mwalimu anao uwezo wakumkaripia huyo mwanafunzi kiasi cha huyo bint kutorudia, na hata kumtishia huyo mwanafunzi kumpeleka kwa mwalimu wa nidhamu kama akiendelea na hizo tabia, nina uhakika huyo mwalimu anatabia yakucheka cheka na wanafunzi wa kike ndio maana wanamzoea kiasi hicho, Huyo kama ni mwalimu aliyefundishwa Ethics za ualimu na psychology asingeshindwa kulihandle hilo jambo kiasi chakuanza kujiuliza afanyeje, hii inaonyesha anatafuta sapoti huku ili ahalalishe hilo jambo.
- kama mama
- kama mzazi
- kama mwalimu
Kwakweli natamani nijue ni mwalimu wa shule gani...........
Kama mwalimu mwenyewe ni wewe kuna haja kuhasiwa!
we una nyota ya segerea sema bado haijaanza kung'aa.. .kemea pepooo
Huu uandishi wa waalimu ndo mnategemea watoto kufaulu?
Kagonge bana. Ukidakwa ni ajali kazini tu
we mama mm sina kosa na siwezi fanya kitendo kama hiko ila muwakanye watoto wenu wanapenda mapenzi angali wana umri mdogo na wanajiamini sana
pia inabidi unipongeze sababu wengine wangesha mgegeda
Makosa unayo, tena narudia unayo, wewe unaonekana ni mwalimu dhaifu ndio maana bint anakuchezea sharubu, Namaanisha unaendekeza kucheka cheka na mabint, haiwezekani mwl anaejitambua mwanafunzi akamchezea sharubu, mara 3 zote mwanafunzi anafanya majaribio kwako wewe umeshindwa kutumia hekima yako kumkaripia ila unamchekea chekea na unakuja huku jf kutafuta sapoti, kwanini haya maelezo usingemweleza mwalimu wa nidhamu au mwalimu mlezi wa mabinti au staff members wenzako ambao wote mnajua Ethics za kazi zenu and how to handle issue kama hii?????? lakini pia ungeweza kuwaita wazazi/walezi wa binti kama sehemu ya kumsaidia, Najua unajua wakati mwingine hayo mambo yanatokea kwa sababu nyingi hivo hata kuonana wazazi kungekupa fursa yahufahamu vizuri kama hizo tabia binti ni hulka yake au kuna kitu kingine kinachopelekea yeye kufanya hivo kisha ukamsaidia kwa ushauri na tukaongeza idadi ya madaktari wanawake nchini.
Bila shaka wewe ni mwalimu kijana mlioajiriwa miaka ya karibuni, mnajiita damu inachemka, kwa kweli hujakutana na mwalimu mnoko kama mimi, ningekuwa nipo nawewe hio ishu ningeijua yaani saahizi ungekuwa unapumulia mashine ICU. lakini nakuambia acha hiyo dhambi kabisa itakuja kukupeleka ukotarajia, na wewe kesho utakuwa mzazi na utapenda mwanao atendewe vizuri.
Nitakutafuta pm kwa muda wangu.
Mimi namfundisha yupo form two ni mzuri jamani nyie anapenda kuwa close na mimi nikiwa nafundisha ananiangalia usoni mda wote yaani hana akili ata za darasani.
Aliniandikia barua eti kananipenda mimi sikumjibu akataka niwe namfundisha tution nikakataa akasema anataka awe anaweka hela za matumizi kwangu nikakubali jana usiku akatoroka prepo akaja kwangu hana sababu nikamrudisha class.
Leo asubuhi amekuja eti kunisaidia kazi za nyumbani nikakataa nikamfukuza ila natamani kumla ila nitavunja ethics za uwalimu. Jioni hii kalikuja eti kupiga simu alivyomalizaakanipa barua nikaichukua nikachana
jamani sijui nimfanyaje huyu mwanafunzi.