crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,250
- 893
Mimi namfundisha yupo form two ni mzuri jamani nyie anapenda kuwa close na mimi nikiwa nafundisha ananiangalia usoni mda wote yaani hana akili ata za darasani.
Aliniandikia barua eti kananipenda mimi sikumjibu akataka niwe namfundisha tution nikakataa akasema anataka awe anaweka hela za matumizi kwangu nikakubali jana usiku akatoroka prepo akaja kwangu hana sababu nikamrudisha class.
Leo asubuhi amekuja eti kunisaidia kazi za nyumbani nikakataa nikamfukuza ila natamani kumla ila nitavunja ethics za uwalimu. Jioni hii kalikuja eti kupiga simu alivyomalizaakanipa barua nikaichukua nikachana
jamani sijui nimfanyaje huyu mwanafunzi.
Wewe sio Mwl acha kuzuga na stori za kijinga hizo.Yaani Mwl mzima tena kama mzazi, wewe ni kukataa tu, mara kuchana barua mara..... Hakuna hata namna ulivyojaribu kumsaidia kwa saikologia mliyofundishwa darasani ukampa ushauri ili atulie,aweze kutimiza ndoto zake, kumsadia aweze kuvuka salama ktk adolescence stage, wewe eti unamfukuza? Ndio umemsaidia nini hapo? Mwanafunzi anakuambia Mwl kuwa anakupenda unanyamaza, ndo umemsaidia nini hapo na ualimu wako nini? Acha ubwege wewe sio Mwl au nikuitie Gwajima nini?