Chanzo kipi hicho ?Tunahitaji nasi kujiridhisha maana kumtangazia mwenzio kifo sio poa!Hatubishi Tunahitaji kujiridhishaUnabisha kana kwamba unajua inabisha nini, kumbe hamna kitu.
Vyanzo vya kuaminika vinasema "amevuta" halafu wewe unabisha kana kwamba wewe ni yeye.
mkuu weka uthibitisho wa kifo chake vinginevyo siyo vyema kuzushia vifo watuUnabisha kana kwamba unajua inabisha nini, kumbe hamna kitu.
Vyanzo vya kuaminika vinasema "amevuta" halafu wewe unabisha kana kwamba wewe ni yeye.
kafariki lini?Kigogo huko twitani ameandika jamaa hatunae dah aisee
Ndo huyu huyu alikua anatupa update za Mzee wenu mkawa mnabeza!Kigogo ni mpuuzi. Jinga kabisa lile dubwasha
Kigogo huko twitani ameandika jamaa hatunae dah aisee
Walimbeza weee mpaka wenyewe wakatema kiazi cha moto mdomoni hahaaa.Ndo huyu huyu alikua anatupa update za Mzee wenu mkawa mnabeza!
Bado wanaendelea kubisha, kilichompata kiboko na mamba pia kitampata ni suala la muda tu, tuvae Barakoa Wakuu, kirusi kimecharuka sana.Walimbeza weee mpaka wenyewe wakatema kiazi cha moto mdomoni hahaaa.
Umeshakuwa kama Zezeta Fulani lisilo na mwelekeo. Kama ulikaa kwenye nafasi uliyopo kwa kubebwa na Magufuli tuliwaambia tangu awali yeye si Mungu. Sabaya na wenzako jiandaeni kupotea kisiasa, enzi yenu imefika mwisho baada ya kifo cha Mnyama mwenzenu.Wewe ophonso inaweza kua ndio huyo jamaa, Upo unajimwambafai tuu
Lakini Tundu hatokaa awe raisi Tz
Ni Ujumbe tuu nafikisha kama nimekos nisameeni
Kabisaa, huwezi tangaza kitu usichokuwa na uhakika nachoChanzo kipi hicho ?Tunahitaji nasi kujiridhisha maana kumtangazia mwenzio kifo sio poa!Hatubishi Tunahitaji kujiridhisha
Sijui ni lini nimeona picha humu kuna memba, ametuma kutoka twiter ya kigogo kuwa jamaa kavutakafariki lini?
Ndio mimi nilibebwa na Mh Magu wewe Nani atakubeba ?? Na tutabaki hamtutoi ng'o mpk 2025 teh teh teh tehUmeshakuwa kama Zezeta Fulani lisilo na mwelekeo. Kama ulikaa kwenye nafasi uliyopo kwa kubebwa na Magufuli tuliwaambia tangu awali yeye si Mungu. Sabaya na wenzako jiandaeni kupotea kisiasa, enzi yenu imefika mwisho baada ya kifo cha Mnyama mwenzenu
Mkuu habari hii km kweli, nimeumia Sana kwa kweliii, roho inaniuma Sana, jamaa kazi imemsababishia kifo, boss kamsababishia haya, lkn sijui km kweliKama kweli kavuta imeniuma sana. Ila sasa kuna mtu yupo kar
Tuilaumu coronaMkuu habari hii km kweli, nimeumia Sana kwa kweliii, roho inaniuma Sana, jamaa kazi imemsababishia kifo, boss kamsababishia haya, lkn sijui km kweliView attachment 1729708
Ni nan huyo
Tatizo mkuu hamna uhakika au uthibitisho wa hizi taarifa!!Alikuwa Mlinzi wa jiwe inadaiwa amefariki kutokana na Covid.
Tatizo mkuu hamna uhakika au uthibitisho wa hizi taarifa!!
Picha hizo zote zipo Facebook na hiyo account ameacha kuitumia toka 2012, na inaonyesha huo mwaka ndo alipata kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama