Huyu mtu na genge lake ni wahujumu uchumi na hawana tofauti na mafisadi wengine

Kinachofanyika ni wizi, ufisadi na dhulumu kubwa dhidi ya masikini wanaolipa kodi kwa tabu huku wao wakiishi raha mstarahe.
Kwani kiongozi wa chama hajatolea maelezo upotevu wa ela ya ruzuku ya 237 mil ambazo zilikosa maelezo ya matumizi? Kamati Kuu si ilikaa majuzi kwa nini hakutoa maelezo? Na nyie mpo mpo tu mkiendeleza dhuluma kwa masikini !!!
 
Mbowe na genge lake ndio Mafisadi
Mbowe alikuwa anatumia ma baunsa wake club billicanas kuwauzia vijana madawa ya kulevya MAGUFULI kamdhibiti
Magu Ni jembe

MAGUFULI OYEEE
CCM OYEEE
Tanzania OYEEE
Yes oyeee
MUNGU wetu oyeeee
Naamini 100% Mungu yupo na MAGUFULI kwa sababu ana uchungu Sana na nchi yake
jamani juwe tuludishie Benn saa8 hata Kama kafa tuambieni tuweke matanga tusahau
 
Kwani kuna mtu amekukataza kuitumia? Unasubiri nani akusaidie kuitumia?

Ndio maana ninasema ninyi ni makamanda karatasi na screen!
Mkuu acha kujitoa akili hiyo ibala ningekuwa mimi ningeshaitumia toa siku 365 zilizopita.Zina watu wake special lakin si unajua wahuni kumpindua mhuni mkuu ni ngumu maana anakuwa na Intellijensia kali.Hafai huyu Jiwe.
 
Mbowe na genge lake ndio Mafisadi
Mbowe alikuwa anatumia ma baunsa wake club billicanas kuwauzia vijana madawa ya kulevya MAGUFULI kamdhibiti
Magu Ni jembe

MAGUFULI OYEEE
CCM OYEEE
Tanzania OYEEE
Yes oyeee
MUNGU wetu oyeeee
Naamini 100% Mungu yupo na MAGUFULI kwa sababu ana uchungu Sana na nchi yake
Sasa mkuu still mbona mbowe ana mkwanja mrwfu sana kuzidi Magufuli.Pamoja na kupiga pesa za vivuko,nyumba kuuza bado haoni ndani.Yaani kumkomoa mtu haisaidii.kubomoa Bilicanas kama alikuwa anakuuzia madawa halafu hujakamata madawa,hujakamata muuza madawa.Huo ni unafiki.Ilipaswa akamatwe na awekwe ndani.Hakuna kesi kubwa kama ya madawa sasa wewe unaropoka tu.mapovu meeengi wenzio still wanapiga hela.wewe bado pakanga.
 
Tukubali tu muafrika ni mtu duni sana na ndio maana mtu huyu na genge lake wanaweza wakafanya haya na wanaofanyiwa haya wakaona ni sawa tu na bado wakaendelea kumpa heshima mtu wa aina hiyo.

Ingekuwa ni katika mataifa ya watu weupe ambako hata bei ya mkate tu ikipanda watu wanaungana na kuandamana, huyu mtu na genge lake la wahuni na wahujumu uchumi wasingevumiliwa kwa muda wote huu.

Kinachofanyika ni wizi, ufisadi na dhulumu kubwa dhidi ya masikini wanaolipa kodi kwa tabu huku wao wakiishi raha mstarahe.

Huyu mtu na genge lake ni watu hatari na hawastahili tena hiyo hadhi waliyonayo wala heshima wanayopewa bali wanastahili kuondoka katika hizo nafasi na kupisha wengine.

Kosa kubwa tunalofanya ni kukaa kimya na kuwaachia watu wachache ndio wamseme na kumkosoa huku baadhi yetu wakigeuka watetezi wake mradi tu kujipendekeza.

Ukweli ni kwamba, hasira tunayokuwa nayo dhidi ya vibaka wa mfukoni ambao huwa tunawachoma moto hasira hiyo hiyo na kwa kiwango hicho hicho inabidi kielekezwe kwa huyu mtu na genge lake.

This man is evil!
Kuna mapungufu lakini hats we we uzidisha ubaya wa unayosema
 
Umesema kweli kabisa Salary slip, asiyekubali hili eidha ni chizi kama yeye au ni mchumia tonge.
 
Unamnanga Freeman Mbowe!

Wewe jamaa maandishi yako yanaonyesha ni kama wale mbwa wanaobweka sana lakini adui akisogea wanakunja mkia matakoni!

Kelele nyingi hapa Jamiiforums lakini uwoga umekujaa mpaka huwezi hata kutaja jina tu la mtu unayemnanga!

Makamanda karatasi na screen!
Anayenangwa unamjua, anajiita chizi a.k.a jiwe.
 
SanA nampenda rais wangu sio mchezo.. watangoja sana tuu. Hahhaa heko mh John PM pambana tu wacha waseme ndo kawaida yao..
Mbowe na genge lake ndio Mafisadi
Mbowe alikuwa anatumia ma baunsa wake club billicanas kuwauzia vijana madawa ya kulevya MAGUFULI kamdhibiti
Magu Ni jembe

MAGUFULI OYEEE
CCM OYEEE
Tanzania OYEEE
Yes oyeee
MUNGU wetu oyeeee
Naamini 100% Mungu yupo na MAGUFULI kwa sababu ana uchungu Sana na nchi yake
 
Katika bandiko hili ndo utaelewa wazi kuwa kuna watu bora wasingejifunza kusoma.
1. Hivi katika bandiko hili kuna haja ya kuuliza ni mtu gani anaongelewa kweli?
2. Hata kama kweli hujaelewa si bora kuuliza kuliko kuropoka?

Jamani mmerogwa na nani hadi kushindwa kuuliza maswali? na hata mkijibiwa msielewe nyie --nyie -- nyie?
 
Sasa mkuu still mbona mbowe ana mkwanja mrwfu sana kuzidi Magufuli.Pamoja na kupiga pesa za vivuko,nyumba kuuza bado haoni ndani.Yaani kumkomoa mtu haisaidii.kubomoa Bilicanas kama alikuwa anakuuzia madawa halafu hujakamata madawa,hujakamata muuza madawa.Huo ni unafiki.Ilipaswa akamatwe na awekwe ndani.Hakuna kesi kubwa kama ya madawa sasa wewe unaropoka tu.mapovu meeengi wenzio still wanapiga hela.wewe bado pakanga.
Mkuu wewe ndio Mkya waifu wa mbowe nini,
 
Wasio na macho na wanufaika ni ngumu kukuelewa.Mbeleni huko makaburi yatafukuliwa kujibu yote hata wakiwa na mikongojo,tuombe tuishi miaka mingi kushuhudia haya,haya mambo matatu ni hatari na ndo makaburi makuu yatakayofukuliwa mbeleni, matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha na mali za umma,kupotea kwa watu ( wasiojulikana) na kushindwa kuchukua hatua.
 
Kwani kiongozi wa chama hajatolea maelezo upotevu wa ela ya ruzuku ya 237 mil ambazo zilikosa maelezo ya matumizi? Kamati Kuu si ilikaa majuzi kwa nini hakutoa maelezo? Na nyie mpo mpo tu mkiendeleza dhuluma kwa masikini !!!
1.5trillion zipo wapi?
 
Kijani walichojali ni kuokoa chama kwanza hata kama nchi ya kusadikika ikiangamia, hawajali mwanasiasa anachoangali kwanza maslai yake sio maslai ya umma
 
Mtachonga sana na hamtaweza kwasababu tumeshafungia milango yenu ya kifisadi. Mlizoea vya kunyonga kupe nyie
 
E
IMG-20180928-WA0011.jpg

Baada ya Chacha kuhamia CCM sasa tunamkaribisha mwingine
Eti kahamia. We kweli Jingalao.
 
Mbowe na genge lake ndio Mafisadi
Mbowe alikuwa anatumia ma baunsa wake club billicanas kuwauzia vijana madawa ya kulevya MAGUFULI kamdhibiti
Magu Ni jembe

MAGUFULI OYEEE
CCM OYEEE
Tanzania OYEEE
Yes oyeee
MUNGU wetu oyeeee
Naamini 100% Mungu yupo na MAGUFULI kwa sababu ana uchungu Sana na nchi yake
Taradiddle
Childish rantings
 
Back
Top Bottom