Huyu mtu na genge lake ni wahujumu uchumi na hawana tofauti na mafisadi wengine

Sio wa kuwashangaa hao njaa haina adabu,wamehakikishiwa kurudi 2020
Labda kama kura za maoni za ccm katika kila jimbo zitapigwa kwa haki wanaweza kuwekwa kando hao "wahamiaji". Manake hapo watakutana ccm halisi na ccm wahamiaji
Amri kutoka juu ndo labda itaweza kuwaponya wahamiaji.
 
Labda kama kura za maoni za ccm katika kila jimbo zitapigwa kwa haki wanaweza kuwekwa kando hao "wahamiaji". Manake hapo watakutana ccm halisi na ccm wahamiaji
Amri kutoka juu ndo labda itaweza kuwaponya wahamiaji.
Itategemea maamuzi ya mmiliki wa chama ni watu gani awatakao bungeni,watakaoweza sema ndio,ndo watakaorudi bungeni,
 
MTU masikini kamwe hawezi kuwa mwanasiasa mzuri ni rahisi kurubunika,wenzetu waliyaona haya
 
Sasa mkuu still mbona mbowe ana mkwanja mrwfu sana kuzidi Magufuli.Pamoja na kupiga pesa za vivuko,nyumba kuuza bado haoni ndani.Yaani kumkomoa mtu haisaidii.kubomoa Bilicanas kama alikuwa anakuuzia madawa halafu hujakamata madawa,hujakamata muuza madawa.Huo ni unafiki.Ilipaswa akamatwe na awekwe ndani.Hakuna kesi kubwa kama ya madawa sasa wewe unaropoka tu.mapovu meeengi wenzio still wanapiga hela.wewe bado pakanga.
Pamoja na Rambi rambi za Kagera, St Vicent na sasa Mv Nyerere
 
Mbowe na genge lake ndio Mafisadi
Mbowe alikuwa anatumia ma baunsa wake club billicanas kuwauzia vijana madawa ya kulevya MAGUFULI kamdhibiti
Magu Ni jembe



MAGUFULI OYEEE
CCM OYEEE
Tanzania OYEEE
Yes oyeee
MUNGU wetu oyeeee
Naamini 100% Mungu yupo na MAGUFULI kwa sababu ana uchungu Sana na nchi yake
uchungu wa miezi mingapi
 
Back
Top Bottom