Huyu mtoto noma.

njema san,Mungu amjaalie aje kumiliki gari au kuunda.
[HASHTAG]#wanandoto[/HASHTAG]
 
Ile helicopter imepotelea wapi nayo??[emoji15]
Au ilikuwa kiki ya uchaguzi wa October kwa chama cha viwanda??
 
Huyu ukubwani atakua engineer.
 
Ingekuwa nchi za wenzetu angeshapewa tour kwenye major car manufacture industries kuona magari yanavyotengenezwa na kuuliza maengineer na technicians maswali.
 
Ingekuwa nchi za wenzetu angeshapewa tour kwenye major car manufacture industries kuona magari yanavyotengenezwa na kuuliza maengineer na technicians maswali.
Huku kwetu anatakiwa apewe onyo maana kuna siku atatengeneza bomu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…