huyu mtoto au laana...

Eeh, acheni utani, hivi hapa ni Mama kapewa mimba na mwanaye au mtoto kampa mama yake mimba?!, kama huyo mama ni kichaa, naona ni sahihi ulivyoandika, mtoto kampa mama yake mimba but kama yuko ok, yeye ndiye kapokea mimba ya mwanaye, utakubalije kulala na mwanao ukiwa na akili timamu?!, inaanzaje hasa?!
 
Au huyu mama ni mlevi kupindukia na mawanae ni teja, hata kama hivyo, eh, wa kwanza, wa pili, haya ni makubwa na mazito hasa!
 
Au huyo mama ni mlevi kupindukia na mawanae ni teja, hata kama hivyo, eh!, wa kwanza, wa pili, haya ni makubwa na mazito hasa!
 
Eeh, acheni utani, hivi hapa ni Mama kapewa mimba na mwanaye au mtoto kampa mama yake mimba?!
is there a difference? mimi siioni

kama huyo mama ni kichaa, naona ni sahihi ulivyoandika, mtoto kampa mama yake mimba but kama yuko ok, yeye ndiye kapokea mimba ya mwanaye, utakubalije kulala na mwanao ukiwa na akili timamu?!, inaanzaje hasa?!

utawezaje kulala na mama yako ukiwa na akili timamu?!, inaanzaje hasa?!
 
Back
Top Bottom