masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,571
- 20,149
wanawake mko hivyo, wepesi wa hsia , kudanganywa , kugilibiwa etc etc. Hukuona jana, Kimaro kurudi Kijitonyama wamama wamelia kama wamewekwa betri!Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.
Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja.
Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na Mimi nikamkarimu.
Tukaulizana maswali mawili matatu kuhusiana na bidhaa atakazo ghafla tukazama kwenye story kuhusu biashara yaani from 0-100
Fasta nimekua nikimzoea .
Sasa sijui nini kilipelekea tukaanza story za biashara na watu kuzitilia nuksi...yaani kukuwangia.
Kidogo akasema dada Mimi Nina watu kichwani..tangu nimekuja hapa nasisimka...alivyosema vile na Mimi nimeanza kusisimka hatariiii....
Yaani kama kanichaji hivi ..
Ndo akasema nimuhudumie aende maana anajisikia hovyo.
Akaniambia serve namba yangu j3 nitakuletea dawa.
Akasema yeye alikua awe mganga ila hataki hao watu ndo wanamlazimisha kwa kua baba yake alikua mganga.
Sasa nikaservw namba nikamtext wasap...nasubuliri jibu..
Wakati akiwa pale dukani nilikua nasisimka kama yeye..yaani yeye mpaka vipele vimemsimama...
Alivyoondoka TU nikarudi kawaida navuta hisia nisismke wapi wala sisisimki tena....
Ila deep down in my heart napaona kwenye goli langu pamekua pazito ...na yeye kanidhibitishia kwamba pale SI pazuri....wapendwa niombeeni wanaofanya biashara na Mimi ni wapemba.
Ila kasema ataniletea dawa ..niipokee au niganyaje ila Kwa hali niliyokua nasisimka akisema nasisimka na Mimi nahisi yaani dah ila sikumwambia Kwa muda ule kwamba na Mimi nahisi hivi..
You are being manipulated.Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.
Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja.
Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na Mimi nikamkarimu.
Tukaulizana maswali mawili matatu kuhusiana na bidhaa atakazo ghafla tukazama kwenye story kuhusu biashara yaani from 0-100
Fasta nimekua nikimzoea .
Sasa sijui nini kilipelekea tukaanza story za biashara na watu kuzitilia nuksi...yaani kukuwangia.
Kidogo akasema dada Mimi Nina watu kichwani..tangu nimekuja hapa nasisimka...alivyosema vile na Mimi nimeanza kusisimka hatariiii....
Yaani kama kanichaji hivi ..
Ndo akasema nimuhudumie aende maana anajisikia hovyo.
Akaniambia serve namba yangu j3 nitakuletea dawa.
Akasema yeye alikua awe mganga ila hataki hao watu ndo wanamlazimisha kwa kua baba yake alikua mganga.
Sasa nikaservw namba nikamtext wasap...nasubuliri jibu..
Wakati akiwa pale dukani nilikua nasisimka kama yeye..yaani yeye mpaka vipele vimemsimama...
Alivyoondoka TU nikarudi kawaida navuta hisia nisismke wapi wala sisisimki tena....
Ila deep down in my heart napaona kwenye goli langu pamekua pazito ...na yeye kanidhibitishia kwamba pale SI pazuri....wapendwa niombeeni wanaofanya biashara na Mimi ni wapemba.
Ila kasema ataniletea dawa ..niipokee au niganyaje ila Kwa hali niliyokua nasisimka akisema nasisimka na Mimi nahisi yaani dah ila sikumwambia Kwa muda ule kwamba na Mimi nahisi hivi..
Kwisha kabisa.Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.
Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja.
Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na Mimi nikamkarimu.
Tukaulizana maswali mawili matatu kuhusiana na bidhaa atakazo ghafla tukazama kwenye story kuhusu biashara yaani from 0-100
Fasta nimekua nikimzoea .
Sasa sijui nini kilipelekea tukaanza story za biashara na watu kuzitilia nuksi...yaani kukuwangia.
Kidogo akasema dada Mimi Nina watu kichwani..tangu nimekuja hapa nasisimka...alivyosema vile na Mimi nimeanza kusisimka hatariiii....
Yaani kama kanichaji hivi ..
Ndo akasema nimuhudumie aende maana anajisikia hovyo.
Akaniambia serve namba yangu j3 nitakuletea dawa.
Akasema yeye alikua awe mganga ila hataki hao watu ndo wanamlazimisha kwa kua baba yake alikua mganga.
Sasa nikaservw namba nikamtext wasap...nasubuliri jibu..
Wakati akiwa pale dukani nilikua nasisimka kama yeye..yaani yeye mpaka vipele vimemsimama...
Alivyoondoka TU nikarudi kawaida navuta hisia nisismke wapi wala sisisimki tena....
Ila deep down in my heart napaona kwenye goli langu pamekua pazito ...na yeye kanidhibitishia kwamba pale SI pazuri....wapendwa niombeeni wanaofanya biashara na Mimi ni wapemba.
Ila kasema ataniletea dawa ..niipokee au niganyaje ila Kwa hali niliyokua nasisimka akisema nasisimka na Mimi nahisi yaani dah ila sikumwambia Kwa muda ule kwamba na Mimi nahisi hivi..
I don't know meeen!You are being manipulated.
Hapana ni mteja....na sio mara kwanza kununua...ila hakunikuta Mimi alimkuta kijana na mfumo WA biashara yangu lazima ningejua SI mteja...Mijitu mingine bhana, anajua kabisa huyo ni tapeli, ila anajifanya kuja kuuliza kitu anachokijua kabisa
Kpnd mnaongea alikushika? U ulipompa bidhaa alikushika.I don't know meeen!
But I felt the thing.i don't know....
Mzoee jamaa kauli zake ndivyo zilivyo🤣Hapana ni mteja....na sio mara kwanza kununua...ila hakunikuta Mimi alimkuta kijana na mfumo WA biashara yangu lazima ningejua SI mteja...
Alafu usiniite mijitu bro...
Kpnd mnaongea alikushika? U ulipompa bidhaa alikushika.
Kuna dawa mtu akikukugusisha tu unahisi hivyo, hapa mjini kawaida sana na kuna kpnd zilitrend balaa
Anakufanyia kamchezo tu ununue dawa zakeHapana hakunishika.....na amenunua na amelipia...yeye anasisimka namuona na Mimi nasisimka
Atakua anatukana watoto wake sanaMzoee jamaa kauli zake ndivyo zilivyo🤣
Nature ya biashara yangu ni kama salum...yaani huduma ninayoitoa hakuna namba yoyoye mteja asikae akahudumiwa..yaani mkuku mkuku unamkimbiza sio nature ya biashara yangu..Na ndiyo maana haishangazi kuona matapeli wengi wanafanikiwa kuwaibia watu wa jinsia yako zaidi, kuliko hii ya kwetu!
Na hii inatokana na ukweli kwamba mioyo yenu ni myepesi sana kwenye kuamini.
NB: Ni kosa kubwa kuruhusu eneo lako la biashara kugeuka kuwa kijiwe cha soga, kupiga umbea, nk.
Ila deep down in my heart napaona kwenye goli langu pamekua pazito ...na yeye kanidhibitishia kwamba pale SI pazuri....wapendwa niombeeni wanaofanya biashara na Mimi ni wapemba.
Ila kasema ataniletea dawa ..niipokee au niganyaje
All in all, ukishaingia kwenye hizo imani potofu; ujiandae pia kushindwa katika biashara zako. Maana biashara ndivyo ilivyo. Kuna siku unapata mapato ya kutosha, kuna siku mapato yatapungua.Nature ya biashara yangu ni kama salum...yaani huduma ninayoitoa hakuna namba yoyoye mteja asikae akahudumiwa..yaani mkuku mkuku unamkimbiza sio nature ya biashara yangu..
Hahaahah yaani dah..Siku zote kabla ya kukutana na huyo mwanamke, mbona hukuwa na wazo la kuzindika eneo lako?
Iweje baada ya kukutana na huyo mwanamke usiyemjua katu ndio uwe na kimuhemuhe cha kuzindika biashara zako?