Huyu mtangazaji wa TBC kipindi cha nyumbani...

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,514
11,277
mapozi yake yanatatanisha sana. Anaweka sana mikogo akiwa kwenye kipindi kiasi kwamba inaleta utata wakati mwingine, hivi swaga maana yake ni kubana pua ukiongea? kujirembulisha? kuweka mikogo?
 
Lazima atoke vizuri kwenye TV bwana,huwezi kujua labda anafanyaga mazoezi kwenye kioo.
 
mapozi yake yanatatanisha sana. Anaweka sana mikogo akiwa kwenye kipindi kiasi kwamba inaleta utata wakati mwingine, hivi swaga maana yake ni kubana pua ukiongea? kujirembulisha? kuweka mikogo?

Badilisha stesheni. Au huna DSTV?
 
mapozi yake yanatatanisha sana. Anaweka sana mikogo akiwa kwenye kipindi kiasi kwamba inaleta utata wakati mwingine, hivi swaga maana yake ni kubana pua ukiongea? Kujirembulisha? Kuweka mikogo?
mwangalieni na kumchunguza huyu m tangazaji wa hali ya hewa tbc anapumua hadi inasikika kwenye tv,utazani mashine fulani inapoooza kitu,utasikia upepo utavuma kutoka mashariki ya pwani fyuuuuuuu kuelekea kusini pfyuuuuuuuuuuu dah hadi inaboa .fanyeni mazoezi sana kabla hamjarusha kipindiii
 
Back
Top Bottom