Si unamfundisha boya.. Eti angemnjunja viwili vya fastaaaa... Umesahau wahenga walisema sio lazima to Do twaweza enda home na kuchill tu... Mweeeh Evelyn Salt
Nikamwambia nitakusubiri akasema sitaki unisubiri wewe mm mke wa mtu so akija jamaa mtaleteana ugomvi yaani mpaka naandika hii nyuzi nimeumia vibaya natamani hata ningemuibia baadhi ya vitu vyake shenzi sana huyu