Huyu msichana vipi?

Subiri next time.
mtafutaye hachoki,akichoka keshapata.
 
Wewe leo ulikuwa utumike...hao wenzie wakaharibu...na wewe dakika 30 chumbani unapiga story? Cc Evelyn Salt
Jamaa mzito kama uji wa mtama
kapata zali la kuitwa chumbani story muda wote huo?aseeee hadi nimekwazika utadhani inanihusu
tena utakuta story zenyewe kapiga za kijinga kijinga za primary school aaagggrrr
 
nimeumia vibaya natamani hata ningemuibia baadhi ya vitu vyake shenzi sana huyu
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli
 
Last edited by a moderator:
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli

Hahah, hv una2mia dry au mixa?
 
Last edited by a moderator:
Yaani kumbe we ni mwizi pia? Kukosa penzi na kuwaza kuiba vitu ni mambo mawili tofauti kabisa!!
 
Usikasirike mkuu, kuwa mpole "siku aki uza mechi" kula na mtaji
 
una bahati kweli,angekuachia na vyombo uoshe
 
vijana wa kisasa mna shida sana,baada ya kuuliza ulichoitiwa ukaanza stori anakuona ----- tu...
 
jamaa mzito kama uji wa mtama
kapata zali la kuitwa chumbani story muda wote huo?aseeee hadi nimekwazika utadhani inanihusu
tena utakuta story zenyewe kapiga za kijinga kijinga za primary school aaagggrrr
mami evelyn humo ndani wakati naingia nilikuwa peke yangu lakini kama dakika mbili hivi jamaa wanaosoma naye wakaanza kuingia jamani
 
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli

mamie full mlango kuachwa wazi,hataki ufungwe na rafiki zake mara waingie mara watoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…