miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ambayo ipo na hata wewe unalea siyo wako tehDah.... Hiyo itakuwa baiolojia mpya kwa wataalam![]()
![]()
![]()
ambayo ipo na hata wewe unalea siyo wako tehDah.... Hiyo itakuwa baiolojia mpya kwa wataalam![]()
![]()
![]()
acha mitamaa wewe. Jamaa keshaumizwa halafu ale tena mzigo? ni sawa na kujadhalilisha na kuonekana huna msimamoAkija kula mzigo ya mwisho mwisho kisha mpotezee
Kukaa kimya ni jibu tosha....Huu ndo uwanuaume ninaoutaka mm kila Siku,kukaa kimya nalo ni jib chief,kufanya vimbweka vyote ili akuone unatetereka but umekaza ukayachukua maumiv yako na kuyaweka mfukon,Bravo's You,we kakikutafta tenha we kasikilize tu then hata usionyeshe chochote,hakuna kitu kinatesa MTU akupigie kimya,mana hapo anajiuliza maswal bila majib
dah huyo demu alikusaidia sana kupungua uzito, mie nashinda gym miezi sita sasa nimepungua kilo nne tu. Ulipata bahati sanaMadem wakatili sana yaani anakuambia kuwa wewe na yeye it's over and the worst thing anakutajia jamaa aliyenaye ambaye pia unamfahamu! nakumbuka nilishawahi kuloose weight 10kg kwa wiki moja baada ya kukutana na scenerio kama yako valentines day ya mwaka 2010. Hivi vitu visikie tuu omba visikutokee...
Dah.... Kuna milango ya kupita mtoto lakiniambayo ipo na hata wewe unalea siyo wako teh

Appreciate thisHuu ndo uwanuaume ninaoutaka mm kila Siku,kukaa kimya nalo ni jib chief,kufanya vimbweka vyote ili akuone unatetereka but umekaza ukayachukua maumiv yako na kuyaweka mfukon,Bravo's You,we kakikutafta tenha we kasikilize tu then hata usionyeshe chochote,hakuna kitu kinatesa MTU akupigie kimya,mana hapo anajiuliza maswal bila majib
Nimependa plan hako. Hakika hili igizo ukilitimiza.. ex anaweza kuota mileleDogo usisumbuke we mtafute mwanamke mzuri ongea naye harafu mwambie aje akukute naye akikuambia nataka niongee na wew mwambie huyu hapa ni mwanandani wangu ongea tu kwa kuwa hata ukinitoa hapa lzm huyu nitamjulisha tu usikilizie gugumiz lake
Akikuvalia bango uwe umejiandaa kama laki na nusu hiv kabla ya kuondoka mwambie hii hapa ya matumiz bby wangu harafu mbusu mbele yake harafu mfuate ukamsikilize
Akili zangu nazijuaga mie tu mtu akinizingua igizo lake ntakalomfanyia nadhani aendako atajifunza
ha hahahaha sawa mkuuDah.... Kuna milango ya kupita mtoto lakini![]()
![]()
I bet ur a rich niggaYani siendi Ngoo kuna mmoja alinitosa ila sasa hv anahaha no time for Broke Bitches
Mtu akijidai mjuaji mbane mpaka kule anakoenda aendelee kukumbuka hata akifikiri kumfanyia mwingine ajiulize mara nne nneNimependa plan hako. Hakika hili igizo ukilitimiza.. ex anaweza kuota milele
HahaI bet ur a rich nigga
Wa nn mkuuNasbiri Mrejesho
bahati nzuri nilipata ambaye ananipa viti el-mubasher hadi nimerudi kuwa kama captein kombadah huyo demu alikusaidia sana kupungua uzito, mie nashinda gym miezi sita sasa nimepungua kilo nne tu. Ulipata bahati sana