[emoji3] nawew utatuletea tu mrejesho wa masikitikoNipe namba zake nimsikie maana huwez kutunza
Mmh una akili sana kweli kweli[emoji4]akimgonga bila ndom ataletewa toto siyo lake
We Paprika weweeee..... adui wa mwanamke ni mwanamke..Pole mkuu! Wadada sisi!!!!
Kama hutaji kuwaona kabisa, ukiwa na unauwezo wa kuhama sehemu hiyo ningekushauri uhame ila kama huna uwezo huo basi komaa na msimamo wako. Usimpe time ya kujieleza na wala usimjibu msg. Usibadilishe njia, jifunze kuwapotezea.
Yan kuna wakat mnakuaPole mkuu! Wadada sisi!!!!
Kama hutaji kuwaona kabisa, ukiwa na unauwezo wa kuhama sehemu hiyo ningekushauri uhame ila kama huna uwezo huo basi komaa na msimamo wako. Usimpe time ya kujieleza na wala usimjibu msg. Usibadilishe njia, jifunze kuwapotezea.
Nina hela za mavuno ya maharage aje tu tutumie[emoji3] nawew utatuletea tu mrejesho wa masikitiko
Nina maboti 3 mitumbwi 4 na mashamba ya mahindi na maharage heka 9. Aje gari nanunua soon[emoji23] [emoji23] [emoji23] una gari??, usije kimbiwa na ww ukaja lia hapa
Asa hapo uadui uko wapi?We Paprika weweeee..... adui wa mwanamke ni mwanamke..
[emoji25] [emoji29] [emoji36] Polee ungekua muhusika cjui ungekua na hali gani...ila inauma sanaa kiukweliAsa hapo uadui uko wapi?
Mi wananikera wasaliti na mbaya zaidi ni wale wanaokusalini na rafiki yako... Ni wabaya zaidi ya Ibilisi... Yaani naandika hapa adi hasira imenishika
Usikute na wewe ushawahi salitiAsa hapo uadui uko wapi?
Mi wananikera wasaliti na mbaya zaidi ni wale wanaokusalini na rafiki yako... Ni wabaya zaidi ya Ibilisi... Yaani naandika hapa adi hasira imenishika
Saana![emoji25] [emoji29] [emoji36] Polee ungekua muhusika cjui ungekua na hali gani...ila inauma sanaa kiukweli
ha haha mimi physically huwa sishauri mtu waachane namwambia tu we jiongezeMambo ya mapenzi acheni tu, si siku nyingi atakuja kuomba ushauri baada ya kurudiana naye na kuachana tena.
Nina jamaa yangu alimwagwa na dem kwa kuambiwa nilipenda hela zako siyo wewe, tukamshauri achana naye na umsahau, baada ya muda wakarudiana, wakaja wakaachana tena.