Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Yani siendi Ngoo kuna mmoja alinitosa ila sasa hv anahaha no time for Broke Bitches
Bali?Hakuna ushauri kwa watu mlio wai kulala uchi pamoja
Dah.... Hiyo itakuwa baiolojia mpya kwa wataalamakimgonga bila ndom ataletewa toto siyo lake

GoodMa-X wangu wote huwa wanasema mi Nina roho ya kigaidi, sababu mi demu akinizingua nafuta mawasiliano yote na huwa napiga kimya mazima ila nikikutana nao Hi nawapa, washalia wee mi nawacheki tu. Huyo demu we piga kimya kabisa endelea na mishe zako. Watoto wazuri wako wengi sana nowdays.
Puppy, una akili mpaka umepitiliza, yaani umemjibu vizuri na huko alipo nadhani ameshahama nyumba, sijui we ni ke au me, kama ni ke basi pokea kabusu hapo ulipo, kama ni me basi chukua kiroba kwa Mangi nakuja kulipa1. Hicho unachotakwa kuambiwa kwanini usiambiwe kwenye simu au SMS? Au akuandikie barua kama alokuandikia kuku-dump. Anang'ang'ania kuja kwako Trust me hakuna jema hapo. Kama ni kuonana muonane mahali public
2. Alikutajia anaejimenyea mpya ili ulete ugomvi au maneno. Ukawa mwanaume wa kweli ukaliepuka. Kipande hiyo kashindwa. Anakuja kwako ili lengo la ugomvi litimie, yule jamaa mwingine aje iwe vurugu. Au akiwa kwako ampigie yule mwingine amtusi amwambie yuko na wewe. Nasikia harufu ya mtego. Kaa chonjo
3. Keshatiwa mimba. Na vile anakujua anajua atakugusa wapi au atasema kipi ulainike ujichapie tena "Fillet" bila condom. Ubebeshwe mimba ya mwenzako ilotungwa 14th Feb. Usikubali faragha at any cost
4. Kama ni mshirikina au keshafundishwa na mashosti anakuja kwako ku-plant. Mkatae kwako asifike.
Uamuzi ulochukua mwanzo wa kukaa kimya ni sahihi sana usikubali leo kuubadili.
Hasira na machungu ya kuachwa yaelekezee kwenye kutafuta hela na ahueni ya maisha. Utapata mwingine atakaekupa raha na kukuheshimu mjenge Empire pamoja