kimbia haraka muda sio mrefu unaibiwa achana nae ni wasanii hao.ni email zinatumwa kwa watu wengi sana,wizi mtupukuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...
Acha kukariri ww. Kwani Ukiingia cha kike huwezi kukojoa? wanawake ndo hawawezi kukojoa kwenye choo cha wanaume.
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...