Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Hii mada tulishaimaliza kitambo kuwa Mpoki ni Janga katika sanaa.full stopJamaa juzi siku ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards alikuwa kama vile anatania lakini vile vile alikuwa anaboa sana, hata kama ni msanii hapana alikuwa too much,
Alimwambia mama mmoja kuwa "Anafaa kwa matumizi ya binadamu"
Then akamwambia wema sepetu "Alinyangw'anywa penzi na akalirudisha"
Alipokuja RAY, kama vile Ray alianza kupatwa na wasi wasi sana asijue mpoki atasema nini juu yake, jamaa akamchana kuwa "Kuna maneno mtaani kuwa umeachana na Johari"....RAY alionekana kuogopa sana jamaa asiendelee kumchana.
Akaja Hashim Lundenga "Mpoki alimchana indirect, kuwa ni mtu aliyeweza kuvumbua vipaji vya wasichana....alitaka kutamka jambo hapa yule dada akamuwahi...
Alipokuja LULU Michael...hapa aliona aibu kidogo, hata mimi nilikuwa nasali sana asiropoke jambo lolote kuhusu Lulu....
Kwa hiyo watu wakitukanwa wewe ndiyo umetekenywamie alikuwa ananichekesha sana............
Jamaa juzi siku ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards alikuwa kama vile anatania lakini vile vile alikuwa anaboa sana, hata kama ni msanii hapana alikuwa too much,
Alimwambia mama mmoja kuwa "Anafaa kwa matumizi ya binadamu"
Then akamwambia wema sepetu "Alinyangw'anywa penzi na akalirudisha"
Alipokuja RAY, kama vile Ray alianza kupatwa na wasi wasi sana asijue mpoki atasema nini juu yake, jamaa akamchana kuwa "Kuna maneno mtaani kuwa umeachana na Johari"....RAY alionekana kuogopa sana jamaa asiendelee kumchana.
Akaja Hashim Lundenga "Mpoki alimchana indirect, kuwa ni mtu aliyeweza kuvumbua vipaji vya wasichana....alitaka kutamka jambo hapa yule dada akamuwahi...
Alipokuja LULU Michael...hapa aliona aibu kidogo, hata mimi nilikuwa nasali sana asiropoke jambo lolote kuhusu Lulu....
mie alikuwa ananichekesha sana............
Kwa hiyo watu wakitukanwa wewe ndiyo umetekenywa
teh, ndo wewe uliambiwa unafaa kwa matumizi ya binadamu!!!?
ndio mimi
kaaaz kwelikweli...
Mmmh! natamani niende Brazil.....
si uende nini kinakuzuia!!!!!
si uende nini kinakuzuia!!!!![/QUOT
we acha tu...! World Cup.....
Chelsea inanipa presha kweli, itakua Wenger kamtupia jini Maurinyo. si bure.