Huyu mpenzi wangu simuelewi

Tatizo haweki
misingi ya mapenzi yetu. Unajua kitu chochote kinahitaji misingi
 
ukimpa na huyu wa sasa atakugonga afu atasepa, kuwa makini na kulambisha lambisha ovyo,kama una malengo ya mbali na huyo jamaa kaa nae muongee kiutu uzima , km unataka starehe tu, mpe mgegedo afu muendelee kupiga makitaimu..
 
usijeitaka ndoa kwa pupa bibie,,,, utarudi na talaka......tatizo wewe akili yako ni ndoa tuuu...ndoa si mchezo dada,,, ndoa si kuzaa wala kuduu pekee.... shauri yako.??? Njombe mpaka Dar.... kweli wanaume tunajua kuimbisha,,, hata nauli umetumia pesa yako,,, ulimletea magimbi?
 
Usikurupuke katika hili. Mi naamini wewe mwenyewe unawafahamu zaidi hao watu wawili kuliko sisi tunaoshirikishwa humu jukwaani. Jiridhishe kwa mapana zaidi ni yupi kati ya hao jamaa ni muoaji na yupi ni mgegeda papuchi tu. Swali la kiuchokozi; unapoenda Dar hua kanauli unajijua mwenyewe au kidume anasimamia show? Ila kiukweli kama ni mwaka wa pili kwenye mahusiano na hamjajua hatima yenu, kubali tu huyu wa dar ni mpitaji.
 

Na ndio maana nikakwambia inahitaji muda. Give him sometime kwa sababu watu wote hatuko sawa. Pengine wewe ungeweza kufanya hivyo mara baada ya kuonana kwa mara ya kwanza lakini si wote wanaweza kufanya hivyo kwa sababu watu wote hatuko sawa wala hatufanani kitabia.
 
Ni kweli yaani nampenda sana huyu wa Dar yaani hata sielewi kwa nini yeye hashtuki kuwa mi nalala namuota yeye ndo maana napatta nguvu ya kywakataa wengine kwa sababu nampenda sana yeye, Na analijua hilo lakinin hata hashtuki


Usiposhtuka mapema utakuja kuleta uzi unaomuhusu kwa aliyokufanyia! Heri nusu shari kuliko shari kamili ndugu yangu
 
Ha ha h ah ah mpendwa...ni shida sana kwa kweli!



Ila huyu ni heri awaache wote aje kwangu...tena mimi na nauli nitamtumia tumfanyie maombi! Nisaidie kumshauri hilo mpendwa.
Mmmh sio kwamba nawe unataka kukutanisha miili?
 
Hana mpango na ww huyo. Chukua 120 zako,maana naskia mnasema kuolewa zali siku hizi.
 
"..Kuna kitu anakihitaji kutoka kwa mwanamke, labda wewe huna hicho.. pia nadhani wanawake mmesahau kwamba wanaume sisi ni walewale miaka rudi miaka nenda"-utaolewa tu.
 
Huyo mwamaume wa kukutangazia ndoa kwa kuonana siku mbili tu ni nani na wewe? Tulia uchunguzwe acha kwikwi
 
Huyo wa Dar hakupendi, inawezekana haukufikia matarajio yako Kama alivyokuwa anategemea. Hivyo hakuhitaji ila hataki tu kukwambia na kusema kuwa ukimwambia unamwacha anakusihi usimwache ni zuga tu, anajua unampenda na anaona akikubali kirahisi atakudisappoint. Anataka wewe mwenyewe uanze kuzoea taratibu kuwa hupendwi, na pengine upate mtu, halafu ujitoe mwenyewe. Wote mtakuwa mmeachana bila maumivu.
 
Dada angalia nani anakupenda kwa matendo yake.Kama huyo mpya anakupenda olewa tuu.Coz kwa maelezo yako unaonyesha unatamani ndoa.Huyo wa kwanza alikitumia tuu.Kwanza angekupenda usingemfuata dar mara zote angeshakujaga njombe.
Ushauri:Acha kufahamiana na wanaume kwa kuwavulia ,Kama anakupenda akajitambulishe kwenu akuoe.Kama huyo wa pili hamjafahamiana please msifahamiane hadi muoane.Sawa ee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…