Yaan mpaka namkumbuka mpenz wangu wa zamani, kwa vitimbi vya huyu wa sasa!
Ni Mwaka Na Nusu Sasa Tangu Huyu Demu Anitongoze,Nakumbuka Wakati Huo Nilikuwa Zangu nangoja msururu wa watu kwenye ATM, sasa Yeye akawa mbele, Akawa Anajigusisha Makusudi Wowowo Lake Kwenye Dushelele Langu, Mpaka Mdudu Akavimba!
Kuona ari mbaya nikaamua kuchomolea shati langu nililochomekea ili nisiadhilike, Nashukuru tukamaliza Salama.
Ila Wakati Wa Kuondoka Akaniomba Lift, Sijui Nini Nikajikuta Nimempa Mpaka Namba Yangu Ya Simu(Akautumia Mwanya Huo Kunidanganya Na Kunitongoza)!
Baasi Toka Siku Hiyo Amekuwa Mtu Wa Kunihadaa Tu, Nikimuudhi Kidogo, Anasema Mwanamke Anabembelezwa Kwa Vocha Na Hela Ya Saluni!
Nimechoka kwa Manyanyaso, Maana Hata Mzigo Wenyewe Hanipi, Eti Yeye bado Bikra!
Jamani Si Ananitumia kwa maslahi yake binafsi huyu?
.....Imekula kwako Mkuu!!! Kimbia haraka kabla hujafilisiwa...Chezeya changu doa anayeingia kwa gia kubwa, "Mimi bikra."
Haha anapanda kilima na rivasi chezea yeye.... BAK ila hapo hujamtendea haki hakuna lisongi linaloendana na situation yake??!
Ila kweli mkuu inaweza ikawa gelesha!
Lakin mbona titi zimemsimama?
....uliziona na macho yako kama zimesimama au alikuchezea mazingaombwe/kiini macho ukaona zimesimama?
Una umri gan?
Ila kweli mkuu inaweza ikawa gelesha!
Lakin mbona titi zimemsimama?
Dah! Mkuu Umenikumbusha kitu cha maana sana!
...hahahahahah lol! umenichekesha sana Mentor....lisongi lipo ila nikiliweka hapa naweza kuchezeya ban mpaka 2015 lol!...Eti mie bikra!!! kumbe kuna njemba zinakula uroda kwa raha zao!!!!
naam kaka, mapenzi ni kuthaminiana sio kutesana
,kwi kwi kwi kwi,hilo kweli ni KUBWA la mazezeta,hata lijipigeje chini,ndio limeumbwa hivyo,eti BIKRAH,haaa,wanawake wa MUJINI hao