huyu mlokole kanikwaza, ingawa naogopa kusema hivyo!

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia hii hakuna mjanja wa kukusemea au kukupigania zaidi ya Mungu, hakunaaaa'!

Nashangaa: Kwa mawazo yangu nilifikiri atatoa angalau ka 'ahsante' na kwangu pia (ingawa si kitu ninachokitolea macho sana) kwa kushiriki katika mchakato.

Najiuliza: hiki ni kijembe kwangu kwamba hakuridhika na msaada wangu au?

Hata hivyo naogopa kulaumu sababu amemtaja Mungu, maana itakuwa km nina wivu na Muumba, kitu ambacho si sahihi.

Nimueleweje huyu?!!!
 
Tenda wema uende hakuna kungoja shukrani 😀😄
 
Mungu hutumia wanadamu kutatua matatizo ya watumishi wake. Kama ulijitoa kumsaidia jisikie furaha kwani Mungu kakutumia ww kumwinua kama n mlokole wa kweli anayemjua Mungu analijua hili pia.

NB:Tenda wema nenda zako.
 
Shukrani sana, ni kweli kabisa!!
 
alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia hii hakuna mjanja wa kukusemea au kukupigania zaidi ya Mungu, hakunaaaa'!

Nashangaa: Kwa mawazo yangu nilifikiri atatoa angalau ka 'ahsante' na kwangu pia (ingawa si kitu ninachokitolea macho sana) kwa kushiriki katika mchakato.

Najiuliza: hiki ni kijembe kwangu kwamba hakuridhika na msaada wangu au?

Hata hivyo naogopa kulaumu sababu amemtaja Mungu, maana itakuwa km nina wivu na Muumba, kitu ambacho si sahihi.

Nimueleweje huyu?!!!
Itakuwa MTU na kiatu wewe, Kama amemshukuru Mola yawezkana hTa wewe atakuja kukushukuru, hTa asipokushukuru ni sawa tu, ndugu katika pita Zako wewe hujawah saidiwa na unauhakika wote waliowah kukusaidia wanaridhika na wewe??
 
Chanzo chetu ni Mungu, then Mungu a natumia watu, we mtu wa ajabu Sana, unataka uwekwe wewe in that position?

Vipi kama usingekuwa na afya ukajaliwa kusoma ukafika hapo? Ina maana bado ungemsaidia!?
 
Hamna, mi ni mwema kabisa na hata sina gubu. Sikuelewaelewa tu kijembe chake
 
Hata si hivyo kiongozi, para yangu ya mwisho inaeleza yote hayo!
 
alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia hii hakuna mjanja wa kukusemea au kukupigania zaidi ya Mungu, hakunaaaa'!

Nashangaa: Kwa mawazo yangu nilifikiri atatoa angalau ka 'ahsante' na kwangu pia (ingawa si kitu ninachokitolea macho sana) kwa kushiriki katika mchakato.

Najiuliza: hiki ni kijembe kwangu kwamba hakuridhika na msaada wangu au?

Hata hivyo naogopa kulaumu sababu amemtaja Mungu, maana itakuwa km nina wivu na Muumba, kitu ambacho si sahihi.

Nimueleweje huyu?!!!
Itakuwa MTU na kiatu wewe, Kama amemshukuru Mola yawezkana hTa wewe atakuja kukushukuru, hTa asipokushukuru ni sawa tu, ndugu katika pita Zako wewe hujawah saidiwa na unauhakika wote waliowah kukusaidia wanaridhika na wewe??
Hamna, mi ni mwema kabisa na hata sina gubu. Sikuelewaelewa tu kijembe chake
Yawezkana alikuwa anawatupia hao waliokukaripia na kukuzalaurisha Kwan c ulikuwa unamwambia yanayotokea kwenye harakati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom