Hebu tujuze kwanza na eneo utakapochora hiyo tattoo!
Madogo yana nafuu🤣🤣🤣Makubwa haya
Usisahau kunipa kazi hiyo, pia ukija pm usisahau kunijulisha eneo unalotaka kuchora hiyo tatoo ili nikuambie bei husika.
yule mtoto wako anayevaa hereni puani yupo?