Huyu mke wangu tatizo

Pole sana bro, familia ni mume, ukisema big No hakuna wa kupinga, mueleze kistaarabu kuwa hao marafiki ndo wanaweza kuvunja hiyo familia asipoangalia. Mkeo kama anachukulia poa, ongea direct na rafiki ake/zake waambie hapo sio kituo cha kupokea wenye matatizo wakatafute sehemu nyingine.
Kaza sura, kaza sauti kwa amri ya kiume..
Order ni order haipingwi....

Pole sana bro...
bonge la ushauri
 
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye

Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
Mkuu una umri gani mpaka mke anakutawala kiasi hicho?
 
sasa mzee kwenye kubadilisha nguo inakuaje
 
Mkuu hukustahili kuoa, bali ulistahili kuolewa.

Jukumu la kuwa kichwa Cha familia huliwezi.
Usitoe kebehi,usidharau ukomo wa uwezo wa fikra za mtu.huwez jua kwa upande mwengine jamaa anakuzid kimaamuz na humfikiii hata robo..ila kwakuwa ndoa yao changa huenda ANAONA ISIWE TABU..
 
Katika watu walio toa coment nzuri wewe namba moja boss wangu
 
Pole sana bro, familia ni mume, ukisema big No hakuna wa kupinga, mueleze kistaarabu kuwa hao marafiki ndo wanaweza kuvunja hiyo familia asipoangalia. Mkeo kama anachukulia poa, ongea direct na rafiki ake/zake waambie hapo sio kituo cha kupokea wenye matatizo wakatafute sehemu nyingine.
Kaza sura, kaza sauti kwa amri ya kiume..
Order ni order haipingwi....

Pole sana bro...
Jamaaa yuko dillema labda anaona marafik zake visu...(am kidding)
 
Pole sana bro, familia ni mume, ukisema big No hakuna wa kupinga, mueleze kistaarabu kuwa hao marafiki ndo wanaweza kuvunja hiyo familia asipoangalia. Mkeo kama anachukulia poa, ongea direct na rafiki ake/zake waambie hapo sio kituo cha kupokea wenye matatizo wakatafute sehemu nyingine.
Kaza sura, kaza sauti kwa amri ya kiume..
Order ni order haipingwi....

Pole sana bro...
Big no wakati ukute mwanamke ndio anaelipia kodi ya chumba na mashosti zake wanajua.
 
Tuweke sawa , usiku anakula mke wakati huo rafiki anasikiliza kwahyo anaaanza kujichaji , asubuhi mke akiwahi kazini jamaa anashuka chini kwa rafiki sasa anaanza mkunja mwisho wa siku jamaa amuombe mke wake kwamba rafiki asiondoke hivi karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
tena asiondoke kabisa, maana mke wake katoa ruhusa rafiki yake alale... hapo hakuna tatzo ni kujilia vitu vyako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom