Huyu mke wangu tatizo

bonge la ushauri
 
Mkuu una umri gani mpaka mke anakutawala kiasi hicho?
 
sasa mzee kwenye kubadilisha nguo inakuaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu hukustahili kuoa, bali ulistahili kuolewa.

Jukumu la kuwa kichwa Cha familia huliwezi.
Usitoe kebehi,usidharau ukomo wa uwezo wa fikra za mtu.huwez jua kwa upande mwengine jamaa anakuzid kimaamuz na humfikiii hata robo..ila kwakuwa ndoa yao changa huenda ANAONA ISIWE TABU..
 
Usitoe kebehi,usidharau ukomo wa uwezo wa fikra za mtu.huwez jua kwa upande mwengine jamaa anakuzid kimaamuz na humfikiii hata robo..ila kwakuwa ndoa yao changa huenda ANAONA ISIWE TABU..
Katika watu walio toa coment nzuri wewe namba moja boss wangu
 
Jamaaa yuko dillema labda anaona marafik zake visu...(am kidding)
 
wewe itakuwa unalelewa na huyo mke wako
 
Big no wakati ukute mwanamke ndio anaelipia kodi ya chumba na mashosti zake wanajua.
 
tena asiondoke kabisa, maana mke wake katoa ruhusa rafiki yake alale... hapo hakuna tatzo ni kujilia vitu vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…