Shida ina anzia hapo mkeo hana akili yake yakuzaliwa ni shida, wewe ukirudi jioni cheza na mkeo kama mpo wawili tena mwambie ajiandaye kabisa ukifika muda wa kulala kama mgeni humuoni vile kesho ataaga na kuondokaKwanini mke wangu asimfukuze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena lilegee kabisaShindwa pepo hahaha
Kwahiyo mnalala watu wa3 chumba kimoja (kitanda kimoja)?
Mkeo kabila gani huyo?
we kaka ni mpole jamani. kuwa mkali
Kuna uzi upo humu, jamaa aliletewe rafiki wa mkewe ndani. Baada ya mda jamaa (mume) akamwambia mkewe "Nikimkuta huyu rafiki yako kesho nampiga miti anakuwa mke mwenzio" kwa maelezo yake yule mgeni hakumaliza masaa 3 akawa ameondolewa na mkewe.Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.
Menzi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .
Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala anapango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu ata ajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala aoni shida yeye yupo tu
Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu paka natamani nichepuke au nimle huyu shemegi akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawai kazini ananiacha mimi naye naombe ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana
Nchi ina maajabu hii.Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini
Itakuwa hivyo maana hili ni jambo haliingii akilini. Angekuwa na nyumba yenye vyumba zaidi ya kimoja ingeeleweka kiasi.Naamini hii umeileta kama kichekesho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yapi huo uzi naukumbuka vizur sana, nafikri mleta mada inapasa atumie njia hii itamsaidia sanaKuna uzi upo humu, jamaa aliletewe rafiki wa mkewe ndani. Baada ya mda jamaa (mume) akamwambia mkewe "Nikimkuta huyu rafiki yako kesho nampiga miti anakuwa mke mwenzio" kwa maelezo yake yule mgeni hakumaliza masaa 3 akawa ameondolewa na mkewe.
Hahhha, ina maana hata uyo rafiki intruder hajishtukii[emoji16].. unless hii ni chai.Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini
Kabisaa mkuuu...!! Hakuna ukweli hapaaa hata kidogoooNaamini hii umeileta kama kichekesho
Nilimuambia akasema marafiki wake wanashida sana na yeye awezi kuwafukuza ni watu wazima wenyewe kwani awaoni