Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

Chuma ulete huyo atakuharibia maisha,mke anaumasana nduguyangu jamaa akibaini hasira zake za maisha zitahamia kwako
 
Piga pumbu alafu mpotezee tu maana kipindikile wakati yupo kijana amekunyima mzigo sasa kazeeka eti anataka ukaenae pumbafuu.
 
Nikukumbushe tu kuwa
1. Mke wa mtu sumu
2. Anamnanga mumewe kwa sababu amefulia
3. Ukimchukua na wewe ukija kufulia atakukimbia
4. Anazitaka pesa zako syo wewe.

Suluhisho:
Badili namba ya simu kata mawasiliano uendelee na mambo binafsi, vingnevyo unakaribisha matatizo na laana.
 
Kumpotezea nimejaribu ila ni msumbufu sana kwenye simu, mara nyingi huniambia shida kuhusu mtoto wake, huruma huniingia kumsaidia mtoto. Yan kuachana nae ni labda nibadili contacts kabisa
Kwa hiyo kubadili namba imekuwa tatizo?
 
Yani wewe umrushie Kuku wawatu mahindi sasa kanogewa na bado unamnogeshwa huku bado unamhurumia mwenye kuku..aisee we mbaya sana!
 
Back
Top Bottom