Huyu mkaka jamani lol

http://www.nigeriafilms.com/image.aspx?img=Y29udGVudC9jb250ZW50L0NocmlzLUF0dG9oMy02ODJ4MTAyNC5qcGd8NjAw[/IMG]

He looks like this guy! Tena anapenda kuvaa vizibao wee utamtaka, huwa natamani nimuwao (nimuhug) kila wakati nikimuona.

hahahaha wewe hebu jisogeze tu kwa huyo kaka maana alivyokukolea mhh umemkariri kila party ya mwili wake...fanya fasta ucje ugua ugonjwa wa chekachekaaa!!
 

Huyo jamaa ni muhuni.
Yaani huyo jamaa anae girlfriend, na anawanawake wengine pia, ila anakuamini wewe kwa yote na kukuambia siri zake.

Huyo jamaa anakuona ni rafiki yake, yaani hakupendi kimapenzi na wala hafikiri eti kukupenda.

Hakikukubalia basi kwa ajili yako sio yake, hao wanawake wengine ataendelea kukuambia siri zake ambazo zitakumiza moyo. Na atatafuta rafiki mwingine wa kike amuambea juu yako pia.

Nenda tu kajitaftie matatizo,
 

mshauri aje kwangu huyo.
 
haaa hivi sakapal unadhani Mentor ni mental kweli? basi tu kujitoa ufahamu....kutwa kucha yupo parokiani, anakuja kununua kabichi kwa mtawa mwallu

kumbe ananizeveza eeehhh, haya mentali nshaambiwa siri zako kwani kunifanya mie zoba kumbe hata sio mentali ni mtawa tena kumbe ni baba paroko, au wamekukwaza huko unaamua kupunguza machungu huku? ona sasa wanamwaga siri zako nje basi kuanzia leo mie sio mentali wako tena nimekutoa kwenye mamentali wenzangu kumbe wewe ni baba paroko akuu usinifanye nikachuma dhambi ya kuambiwa nimemvutisha bange baba paroko, bye!!!. Ila ukiendelea kufanya maombi unaweza nivuta huko parokiani ilasitakuwa mtawa nitakuwa muumini tuu looh!!
 
sakapal i like them lips
zimekaa vizuri.......... kama vile hazijawahi ku-smoke zile makitu...........

hahahaa best asante ila hizi lips hapo ilikuwa kabla hazijabikiriwa na hizo makitu ukiziona sasa hivi zilivo doooh hutaamini maskio yako maana sio macho looh watu wabaya wamezigaragaza
 
hahahaa best asante ila hizi lips hapo ilikuwa kabla hazijabikiriwa na hizo makitu ukiziona sasa hivi zilivo doooh hutaamini maskio yako maana sio macho looh watu wabaya wamezigaragaza


ha ha ha ha ha besti zile makitu haziwezi kufanya destruction beyond measure ,,,,,,,,,,

ila ujue unaweza ukatekwa kisa hizo lips besti........lol!
 
kwahiyo wewe hutajali ukiongeza idadi kwenye hiyo list ndefu ya marafiki zake anao date nao,ila kumbuka naye akitoka kumsichana kugegeda anaenda kumeleza msichana mwingine jinsi ulivyo wa ovyoo au uilivyowapoaaa,mweleze tu hisia zako kama uko tayari kwa hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…