Huyu mgonjwa kweli au ana njaa tu?

Huyu mgonjwa kweli au ana njaa tu?

Salaam wakuu,

Leo nilikuwa na miadi ya kukutana na kimwana wangu maeneo ya ghetto
nilipomaliza mishe zangu nikamcheki hewani.

Akanijibu "Baby nimeteguka mguu tutakutana J3 "nikamjibu "poa" akaendelea "yani hauji kuniona" nikamwambia "nitakuja jioni" akajibu "utaniletea nini'' mimi nimekausha sijamjibu.

Sasa najiuliza mgonjwa gani huyu wa kuomba kuletea kitu.Sasa kuteguka mguu na kuomba zawadi wapi na wapi.

Jamani huu si utapeli wa wazi wazi na hii ni njaa wasichana wa uswazi acheni hizo jamani mbona wenzenu wa mboga Saba sio matonya kiasi hiki.
Ungemwambia nakuletea magongo.
 
anakudekea tu na inawezekana hataki kitu
hiki nacho cha kuomba msaada
 
anakudekea tu na inawezekana hataki kitu
hiki nacho cha kuomba msaada

wanawake kama hao just use men for favors, mm wanawake wakiniomba zawadi huwa nawaambiaga waje ghetto kuchukua zawadi, hahahaa kwan wanakujaga basi, the moment nawaambia hivyo wanaishia tu kunipotezea call na texts zangu and kimoyomoyo najichekea tu huku nikijisemea mwizi amekutana na jambazi sugu Shunie
 
kwa mfano ndio wanakuja gheto kuchukua zawadi ungewapa zawadi gani
 
kwa mfano ndio wanakuja gheto kuchukua zawadi ungewapa zawadi gani

Wao wanajua what 2 expect ndo maana hawaji, for me s*x kwanza hlf zawadi baadae..wakija ghetto hlf wakikataa offer yangu ya s*x then hiyo zawadi hata kama nimenunua siwapi, na nakata nao mawasiliano forever Shunie
 
aiseee acha wakatae tu hakuna namna ingine ubaki tu na hamu zako
 
Ukihesabu garama hivyo si utaamvulia garasa! Baby gani hataki kudeka?ungepeleka hata pipi tu.
 
Back
Top Bottom