Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

Lowasa ni mzima na hata kama anaumwa shida iko wapi? Kwani kuuguwa si jambo la kawaida tumpe nnchi awatie adabu
 
watanzania tulivyo poyoyo mtu kupanda ngazi hawezi atawezaje kuzunguka nchi nzima?
 
Lowasa ni mzima na hata kama anaumwa shida iko wapi? Kwani kuuguwa si jambo la kawaida tumpe nnchi awatie adabu

amtie nani adabu, je ataweza kukiadabisha chama? maana hawa exleader ndo walioko kwenye chama. ANAWEZA?
 
amtie nani adabu, je ataweza kukiadabisha chama? maana hawa exleader ndo walioko kwenye chama. ANAWEZA?

Hivi huoni kwamba chama chake kinahofu kubwa juu ya ujio wa huyu jamaa.
Inamaana atawawajibisha wote wenye lengo ovu
 
Back
Top Bottom