Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

Mleta mada sijui alikua na maana gani? Mnachokoa, tafuta hoja ya kisiasa ukitaka kumshusha sio kutafuta hoja za kijinga kama hilo swali lako
 
Kiukweli hakuna anayefaa zaidi ya huyu mtetezi wa wanyonge the next president of our coutry mh Edward Lowassa.
 
Shida yetu watanzania ni tunapangiwa maneno na watu, angalia mwenye, chambua mwenyewe.....kisha sema mwenyewe......lowassa ndio rais, lowassa amejitolea kwa ajili yetu....na utaona mwenyewe.....africa kila mtu ni mgonjwa.......
 
hahahahahaha lol
duuuuhh wa bongo bana.
Lowasa akitetemeka kidogo tu mgonjwa.
Lowasa akikonyeza tu mgonjwa.
Lowasa asiposhika kalamu mgonjwa.
Lowasa akipanda ngazi taratibu mgonjwa.
Lowasa akichechemea kidogo tu mgonjwa..

Dahhhh bora ajitoe tu kwakweli ameandamwa sana.
 
hahahahahaha lol
duuuuhh wa bongo bana.
Lowasa akitetemeka kidogo tu mgonjwa.
Lowasa akikonyeza tu mgonjwa.
Lowasa asiposhika kalamu mgonjwa.
Lowasa akipanda ngazi taratibu mgonjwa.
Lowasa akichechemea kidogo tu mgonjwa..

Dahhhh bora ajitoe tu kwakweli ameandamwa sana.

Umri jamani nao unachangia, walitaka awe na nguvu kama kikwete? kamuacha mbali sana kiumri
 
Umri jamani nao unachangia, walitaka awe na nguvu kama kikwete? kamuacha mbali sana kiumri

wa bongo hawatakosa cha kusema hapo wanasubiri akohoe tu.

Mi kura yangu hapati lakini si vema kuzushia mtu ugonjwa.
Mpaka aseme mwenye anaumwa na anaumwa nini basi hapo ndipo nitakapo amini .
 
Tumia lugha nzuri Ndugu au umri ulionao ndiyo yana kufanya ufanye Maya.

Kuna kiongozi aliwahi kuitwa dhaifu na legheleghe wala haijawahi kuitwa lugha mbaya.....HUO NDIO UHALISIA KM HUTAKI ACHA
 
Ndugu wadau, naomba sana tutumie lugha ya staha kwa kumchambua mtu na wala si hali ya afya yake kwani kama ni ugonjwa hakuna anayetamani kuugua. Ni vyema kumwombea mwenzako afya njema ili nawe ya kwako ipate kuimarishwa. So kama ni udhaifu wa kiafya si vyema kujadiliwa na kufanyiwa mizaha. Kwani wa kale walisema HUJAFA HUJAUMBIKA.
 
Matusi kwa mtu mzima sawa na babu yako.

Pamoja na mapenzi niliyonayo kwa dini yangu, chama changu, kabila langu, siwezi hata siku moja kumtusi mtu anayetofautiana na mimi, achilia mbali mtu mzima kama Lowassa. Hata kama huonekani kwa binadamu mwenzako, dhamira haikushtaki? Tungekuwa tunajuana humu watu wengine ingebidi wabadilishe njia wasipopolewe mawe au tubadilishe sisi tusishawishike kuwapopoa. Da! Asante TOTOS.
 
Kwani slaa ni mzima ?? Nan asiejua kama mkono wake hadi mguu upande mmoja ameparadasi??
Jrbu kumfatilia utagundua ata maic anashika na mkono mmoja tuu
 
lowasa kiukweli ameleghea sana macho utadhani demu yuko tayari kunako 6x6

Mods cjui kwann mpka sasa huyu mtu yupo humu ndani au kma sheria imekua kipofu bc na cc tuvunje mana hmna nmna nyingine
 
Kwani hamuwezi kumpinga mtu kwa hoja mpaka mtoe matusi?huyo mungu mnae muomba ni huyuhuyu anae ombwa na Lowasa au wa kwenu ni tofauti?yeye hajui kuwa ni mgonjwa?chuki zinawasumbua na msipoangalia ......hahaaaaaa mwaka huu mtamu sana
 
Back
Top Bottom