Huyu Mganga alipitaje pale JKNIA?

Sema waislamu wetu huku bongo wana mambo yao ya ajabu kabisa akija muislam mgeni toka kwingine lazima ashangae,,,wengi wanaendekeza ushirikina na kuna mambo wanalazimisha ila hayapo kabisa kwenye dini
Hata huko kwao wapo waislamu wachawi wanaotumia dini vibaya na kugeuza quran kufanyia uchawi wao na Allah amewaonya ni kama kina wachungaji wenu wa mchongo kina mwamposa
 
Hapo kakutana na mwenye dini
Anamtoa nishai

Ova
Vibaya sana
Tena jamaa msataarabu sana na kila wakati anamuambia hii sio Quran
Kuna mchoro jamaa kachora nusu mwili umekatwa akamwambia hii ni kutaka kumuuwa kabisa mtu?
Yaani mswahili hata neno kabaki kuzubaa tu

Sijui anaenda mroga nani huko
 
Na hapa hawaji kuja kutia neno kwenye huu uzi maana umefunua upumbavu wao wote
Na jamaa analazimisha eti ni Quran, mwarabu wa dubai anamwambia sawa umeandika Quran na kumtaja Allah ila hizi ni black magic bwana acha zako 😂!!.
 
Wameshajua kua waislam wengi sasa hivi wanasoma dini wakiwa watoto tu, so wanajua tu zile basics.
Mambo mengine mengi hawajui, sasa hawa wapigaji wamesoma hilo gape.

Hata kama wewe sio muislam ila hawa waganga wengi unatambua ni waongo.
Wanava kanzu, lemba au barghashia na sendo chini kama katoka uarabuni vile 😂😂😂.
Anachapa kiarabu hapo, anapachika na aya mbili tatu alizokalili, baasi dawa inauzika hapo.
🤣
 
Yani wao kitu kikiwa kwenye kiarabu tu wanaunganisha ni dini,,,,,kuna mambo mengine ni uchawi ila kwakua wanaandika kwa kiarabu basi wao wanasema tu ni dini
Hv umeangalia hy video.? Huoni kuna mambo ya Allah hapo.? Nyie magaidi hamjawahi kuwa na akili
 
Back
Top Bottom