Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,354
- 33,192
Washenzi wa tabia waarabu wenyewe ni wachaw,i wakubwa wamemuonea huyu kijana .ππ Tunguli na matarasimu kwenye scanner yanapita tu pale JKNIA bila shida. Dubai wanapekua begi moja moja
Kwa waarabu Allah ni mungu hata wakristo waarabu mungu wanamuita allahHv umeangalia hy video.? Huoni kuna mambo ya Allah hapo.? Nyie magaidi hamjawahi kuwa na akili
Nje ya madaSSC NI JANGA MPAKA WAMEPIGWA FINE!
Mama kafungua nchi mpaka wachawi sasa ruksa kufanya uganguzi abroadKwani hapa nchini amekosa wateja anataka kwenda kuwatafuta nje ya nchi?
MGanga mwenzako kadakwa hapo π€£π€£Washenzi wa tabia waarabu wenyewe ni wachaw,i wakubwa wamemuonea huyu kijana .
Mna maneno πMama kafungua nchi huoni hata wachawi wanaenda kufanya uganguzi abroad π€£
PumbavuNa hapa hawaji kuja kutia neno kwenye huu uzi maana umefunua upumbavu wao wote
Kama unajua wala hawakusumbuiMtaji wao mkubwa ni sisi kutojua maandiko
Mwanga anatumia lugha ya quran na kumtaja allah kwenye maandishi yake we mmatumbi mbona unamkana nduguyo?Pumbavu
Huyo mwanga ni kama nabii wenu mwamposa na maji upako na mafuta ya kupigia punyeto ya upako.
Na mwamposa anavyowapurura na sadaka za kujilipua mpaka nauli, hizo hela zinaenda kwa yesu au kwenye akauti yakeMwanga anatumia lugha ya quran na kumtaja allah kwenye maandishi yake we mmatumbi mbona unamkana nduguyo?
Tarasimu si ni sehemu ya ibada ya dini husika?
Hizo vitu anaenda navyo vikaongezewe nguvu huko
Kwani Yesu anamiliki account ya benki gani mpaka sadaka ziende kwenye account yakeNa mwamposa anavyowapurura na sadaka za kujilipua mpaka nauli, hizo hela zinaenda kwa yesu au kwenye akauti yake
Wagalatia akili zimejaa tope
View attachment 2948098
Hebu pitia hii imetoka wapi tena imeandikwa kile kilugha cha quranumeandika hayo kwa reference ya kitabu gani?
weka kifungu hapa cha Quran tuone na kama huna, uliza aliyekusimulia hayo akupe kifungu....
Watu wengi hufanya machafu kwa matakwa yao halafu wengine hufikiri ni dini yao imewataka.
Kwani kuna sehemu nimesema huyo sio mchawi?Kwani Yesu anamiliki account ya benki gani mpaka sadaka ziende kwenye account yake
Acha awapurule ni wao wenyewe na ujinga wao hana tofauti yule anaetumia jina la allah na michoro ya quran na matalasimu kufanya ulozi
Na unajua quran inaandikwa kwa lugha gani?Hebu pitia hii imetoka wapi tena imeandikwa kile kilugha cha quran
View attachment 2948106
Asili ya uislamu ni uarabuni au ni kwenu matumbini?Kwani kuna sehemu nimesema huyo sio mchawi?
Na anayemkatalia kwenye hio clip kwamba hii sio qurani ni mgalatia?
Na unajua quran inaandikwa kwa lugha gani?
Wewe ukiona maandishi ya kiarabu popote akili yako inakuambia ni quran ?
"kilugha cha quran" ......Hapa umeonyesha wewe ni kilaza
Unatokea pori gani ?Asili ya uislamu ni uarabuni au ni kwenu matumbini?
Mchawi anatumia jina swafi la allah
Ulikotokea weweUnatokea pori gani ?
Dini yake ipi na chimbuko lake wapi?Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII
View attachment 2944712
ANgalia klip hiyo uone katajwa nani na yuko wapiDini yake ipi na chimbuko lake wapi?