Huyu mdudu anaitwaje?

Huyu mdudu anaitwaje?

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Habari wakuu,

Hapa nnapo ishi nimekutana na hawa wadudu mmoja ni mkubwa balaa na mwingine ni mdogo kama huyu, sasa nauliza hawa wadudu wanaitwaje je wanauma na akikuuma dawa yake ni nini na njia ya kuwazuia ni ipi.Nimewakuta wawili wapo karibu na shimo la maji machafu wanakula mende.

Screenshot_2018-02-15-13-03-25.png
 
Mtoto wangu ali umwa na huyo mdudu kisha kambeba kaja nae hahaha ilikua shughuli maana alikua bado hajaanza kuongea vzr baada ya mda kidogo joto lake la mwili lilipanda sana kiasi tuliingiwa uoga sana, shida ikawa hosp za kiTz hawajui dharula kabisa ya mtu anae umwa magonjwa ya kawaida na alie umwa na mdudu ama kupata ajali wakataka tukae foleni tuliyo ikuta na foleni kwenye hosp za watoto zilivyo mh! Mtoto hali ili change kabsaaa sikuamini kama mdudu huyo akiamua kufanya yake anaweza kubadili hali ya hewa, mwisho alipata matibabu na hata ivyo tuliambiwa anabahati alie mng'ata alikua mdogo hivyo sumu si kubwa sana mana alikua kama ana rangi ya kijani kidogo, kwa madai ya dr anasema wale wekundu na wengine wanakua kama wana mbawa mbili mwishoni mwa mikia yao ndio noma zaidi
Kwa kifupi sio mdudu rafiki sana huyo kama nnge
 
Sasa huduma ya kwanza ukiumwa unafanyaje au ni kama kwenye nyoka tu
 
Hazards to humans
Centipede bite
Some species of centipedes can be hazardous to humans because of their bite. Although a bite to an adult human is usually very painful and may cause severe swelling, chills, fever, and weakness, it is unlikely to be fatal. Bites can be dangerous to small children and those with allergies to bee stings. The venomous bite of larger centipedes can induce anaphylactic shock in such people. Smaller centipedes are generally incapable of piercing human skin.
Kwa haraka tu ana matatizo huyo kiumbe akikuuma hasa awe yule mwenye madhara,hizo pilika za fever na weakness zinaweza leta mambo yaliyojifukia kwenye mwili wako huko siku nyiingi.Ndiyo TANDU huyo...
 
Siku moja nilikuwa nimekaa barazani huyu mdudu alikuja kuingia ndani ya suruali sikujua kabisa, mara hafla nikahisi kitu kinantembea, nikajua visusumizi tu, nikabofya kwa nguvu ili kujikuna kidogo. mara hafala nahisi mtembeo kwenye paja yuwaja juu, sikujali tena nlivua suruali nijui nini kumbe tandu...
 
Back
Top Bottom