Huyu mdudu anaitwaje kikwenu?

Huyu mdudu anaitwaje kikwenu?

Abby Uladu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
2,241
Reaction score
4,646
Habari wakuu!!

Ni wiki sasa nipo mji mkuu wa Tanzania(Dodoma) katika harakati zangu za maisha na kutafuta riqki katika mkoa huu ulioshehedi ardhi kame.

Juzi kati hapa nikaona nimtembelee rafiki yangu wa siku nyingi ambaye yupo chuo kikuu cha Dodoma pale college of education(COED).

Katika matembezi yetu ya kuelekea Ujasi kuna ka kichaka kidogo ah nikaona wadudu waajabu kidogo na rafiki yangu huyu alishindwa kuwatambua..

Je huyu mdudu anaitwaje?

Ana sifa gan?

Kikwenu mnamuitaje?

#Tusichokijua#

Screenshot_20230131-171221_Gallery.jpg
Screenshot_20230131-171227_Gallery.jpg
Screenshot_20230131-171230_Gallery.jpg
Screenshot_20230131-171233_Gallery.jpg
Screenshot_20230131-171242_Gallery.jpg
 
Sawa boss nashkuru kwa jibu lako
Tulikuwa tunawaita 'matini' na mara nyingi wanapatikana kwenye vichuguu japo hao kwenye picha naona kama wakubwa. Tumewala sana enzi hizo, hao ulioweka umewakuta kwenye kichuguu?
 
Mdudu mafutaa, analiwa huyo
Nyengele maguta huyo mwenye zegembe la brown na kweli wanaliwa.

Lakini huyo black beuty simuelewi, yawezekana ikawa dume ama jike lake.

Halafu nadhani mleta mada anawajua vizuri tu na anawagonga!

Watu wanavyoogopaga wadudu'ivoo, yaani awakamate na awakumbatie kabisa!

Huyu anataka kutuchezea akili.
 
Yanaitwa mang’eng’e yapo na body kubw hiv kw nyuma watu wanakula yanavotok chin kunawadudu wadg km siafu iv wakikubite unawez jikuna hadi uvimbe
 
Aliye mshika si mm n rafiki yangu...ambaye. anasema kwao wanawaita "nenne" yeye n mnyiramba aliniambia kuwa kwao wanawala...ndo mana nikauliza je kwen wanaitwaj
 
Yanaitwa mang’eng’e yapo na body kubw hiv kw nyuma watu wanakula yanavotok chin kunawadudu wadg km siafu iv wakikubite unawez jikuna hadi uvimbe
Exactly hao n balaa watotm wa dar es salaam tunawaita siafu askali...ni tofaut na huyu
 
Yanaitwa mang’eng’e yapo na body kubw hiv kw nyuma watu wanakula yanavotok chin kunawadudu wadg km siafu iv wakikubite unawez jikuna hadi uvimbe
Duh mkuu umenikumbusha mbali sana sisi kwetu huko ruvuma tunawaita mageke wanapatikana kwenye vichuguu ila wanang'ata mpk damu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom