Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Alikutafuta WhatsApp baada ya kuona picha zako zipo soft soft na kikazi ulichopata. Huyo kwa kifupi yupo kimaslahi zaidi. Achana naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mzee baba mpaka umeweza kujenga na ukikofikia sio kazi ndogo

Alafu anatokea mtu sijui wapi anasema uuze pumbavu kabisa

Eti siwez kaa sehemu local

Alafu bado unaitaji ushauri ufanye nn

Ntakushauri baadae ukisha fanya maamuzi kama ulivyoweza tafuta kiwanja na ukajenga
Mkuu asante kwa ushauri, huyu mwanamke nishachoka danadana zake. Bora niendelee kufanya finishing nyumba yangu
 
Daaah mimi sijui ninahasira ila huyo dada labd awe na uzuri wa malaika ila angekula block muda sanaa,hv kwani wanawake wengine hakuna mkuu...grow up, pambana na maisha na ndio la msingi, hakuna mtu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni moto kimbia kabisa, yani anashauri uuze nyumba kweli, kimbia huyo siyo mwanamke ana mtu wake yupo huko sema muda haujafika waonane.
 
Post/reply # 1 inatosha sina cha kuongeza,mwanamke akishaleta sera za makazi yapo location ambayo siyo rafiki na kulazimishana kujua kipato chako jua huyo hamna kitu.

Dude....watch yo steps!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Post/reply # 1 inatosha sina cha kuongeza,mwanamke akishaleta sera za makazi yapo location ambayo siyo rafiki jua huyo hamna kitu.

Dude....watch yo steps!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ni kweli boss
 
Kuna actor FULANI alisema

"I started to realize relationships is for beginners, experienced people stay single"

Endelea kujiendekeza kisa umepewa papuchi .

Red alert kibao anakuwashia wewe hushtuki

Ama kweli mapenzi upofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom