Huyu mdada vipi?

Huyu mdada vipi?

Huo ni uchuro na ni dalili ya kuwa na wewe unakufa sooon, so mpe kabla hujafa
 
Panua Akili. Acha kupanua mapaja.

Kesha prepo. Usikeshe club.

-Kaveli-
 
kwann amekwambia we au ndo ulkuwa una dushe mbili, lako mwenyewe na la jamaa ako alie-dead..?
 
Et Jamaa yetu kafariki ghafla Kwa kuumwa ghafla,leo asubuhi anakuja kwangu machozi,kilio balaa!Anasema "Bora ningemkubalia Kelvin nikampa alichokuwa anataka,Yani Kaenda?"

Sasa mie nimemshangaa kwanini aone umuhimu baada ya mshikaji kutangulia mbele ya haki?Wadada tambueni tunaishi mara moja,jeuri ya kudengua na haya maumbile yetu ni ya muda mfupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nacomment tu kwa kuandika Nacomment tu, hii uzi ni full of shit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom