tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Et Jamaa yetu kafariki ghafla Kwa kuumwa ghafla,leo asubuhi anakuja kwangu machozi,kilio balaa!Anasema "Bora ningemkubalia Kelvin nikampa alichokuwa anataka,Yani Kaenda?"
Sasa mie nimemshangaa kwanini aone umuhimu baada ya mshikaji kutangulia mbele ya haki?Wadada tambueni tunaishi mara moja,jeuri ya kudengua na haya maumbile yetu ni ya muda mfupi.
Sent using Jamii Forums mobile app