Huyu mdada nimueleweje?

Habari za muda huu wana jf.

Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa hapa dar.

Sasa kuna mtoto mmoja nikawa nimemuelewa mimi namfaham ila yeye anifaham, bac juzi kati nilikutana nae somewhere jirani na napoishi nikamsimamisha tukazungumza kwa uchache akanielekeza maeneo anayoishi mwisho nikaomba namba akanipa sikuhiyo nikamkaushia.

Next day night nikampigia tukaongea sana nikaomba outing kwa kumwambia kwamba nina mengi ya kuzungumza nae dem kachomoa akasema kama sitojali naweza kumwambia hata hapa anaweza kunielewa bac nikatupia vocal dem akanisikiliza kwa umakini sana ila baada ya muda aliniomba ale kwanza then nimchek after 10 minute mimi sikumchek kabisa siku ikapita kesho nikamchek kwenye saa 5 usiku nikamuuliza vp dem kaona shida kutoa jibu kavunga kachoka kaniambia nimuache alale then nimtafute kesho.

Maajabu 😂😂😂 baada ya pale yule dem ajawahi kupokea cm yangu na text ajibu juzi nimekutana nae ground dem ananionea aibu yani confidence hana kabisa, muda wa kutoka nikamfata nikamuuliza vp kuna shida dem akasema amna shida nikamuuliza mbona cm yangu upokei akasema maybe alikuwa na kazi but amna shida wala sijamkosea chochote nkamwambia kuwa open kama nakukwaza nambie dem akaendelea kusisitiza kwamba nipo sawa na sijamkwaza popote.

So nikamuuliza vp akaniambia tutaongea baadae kwenye cm tukaagana akaondoka, sikumtafuta kama siku mbili ila ground tutaonana mtoto ananiangalia sana halafu kama anakosa comfidence yani tukiangaliana hv anakwepesha macho kwa aibu.

Maajabu 😂😂😂jana usiku pia nimemtafuta akupokea cm asubuhi tumeonana ground dem anaona aibu kishenzi halafu ananiangalia sana.

Sasa nashindwa kumuelewa huyu dem vp maana nilishamwambia awe wazi kama namsumbua aseme anasema simsumbui kukubali ajakubali na kukataa ajakataa.

Sasa simuelewi huyu mtoto ananichukuliaje labda kwa anaeelewa anisaidie au aliewahi kukutana na watu wa dizain hii anaweza kunishauri maana mi binafsi nimekwama.

Samahanini nimeandika kwa spidi sana nipo kwenye gari ya jeshi natokea pwani ndani ndani huku
Hakutaki ila anaona shida kukuchana live hujui kusoma ishara hata picha huoni wewe!Hivo vingine anavyokuangalia sijui nini ni wewe unavyochukulia na kujiaminisha katika kichwa chako!
 
Tafuta mwingine hapo hapo mnapofanya mazoezi. Awe mkali kumzidi hata kama huna mzuka naye jaribu tu kuwa naye karibu muongozane mara kadhaa kwenda mazoezini na kurudi.

Hakikisha huyu unayemfukuzia anaona mnavyoingia na kutoka wote. Pia umkaushie kwa muda.

Utanisimulia baadae matokeo
Hahahahah utaskia tu “Bryan sikuhizi unaringaaa sio kwa kunchunia huko” akigusia mambo ya mbususu tu imeisha hio 😅😅😅
 
Ahsante dada hv huyu mdada atakuwa na shida gani
Hana shida wewe ndo mwenye shida mdogo wangu,

siku nyingine badilisha mtindo wa utongozaji, ukishapewa namba,anza kujenga mazoea kwanza,

jenga urafiki mpigie simu msalimie bila kumtongonza,mtumie sms mjulie hali,kadri mnavyozoeana omba appointment umtoe hata lunch,lunch ya kwanza usimtongonze utamwambiaga kama unampenda mbele huko,na hata ukimwambia usitake akupe jibu,we mwambie tu unampenda basi atajua mwenyewe
 
Hawezi kukumbia hakutaki anakupigia mahesabu unamuhitaji kiasi gani akupige mzinga kulingana kiasi unachomthamini then ukimpa aangalie jinsi ya kuendelea kukupiga hadi ukome kumfuatilia.
Duuh..mbona unanitisha kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna manzi na mimi nilikua namuimba juzi kati, aligoma kutoa majibu kama wiki mbili kabisa.

But demu anadate na mme wa mtu na linapesa mbaya.

HAaaaaaa nimepiga chini mtu hana hata msimamo
🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka mkuu
 
Hakutaki ila anaona shida kukuchana live hujui kusoma ishara hata picha huoni wewe!Hivo vingine anavyokuangalia sijui nini ni wewe unavyochukulia na kujiaminisha katika kichwa chako!
Akifosi fosi simu zitapokelewa ila zikiambata na vibomu vya kurusha kwa mkono 😅😅😅 yani kila simu ikipokelewa ni mzinga hadi dogo atakimbia mwenyewe
 
Tafuta mwingine hapo hapo mnapofanya mazoezi. Awe mkali kumzidi hata kama huna mzuka naye jaribu tu kuwa naye karibu muongozane mara kadhaa kwenda mazoezini na kurudi.

Hakikisha huyu unayemfukuzia anaona mnavyoingia na kutoka wote. Pia umkaushie kwa muda.

Utanisimulia baadae matokeo
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom