Huyu mdada nimueleweje?

We nawe kavu, unamuahidi mtoto wa watu kuwa utamcheki halafu haumcheki, halafu ukikutana nae unataka akushobokeee,we ndezi nn,una fikiri nae taahira hajiulizi eeh?
 
Habari za muda huu wana jf.

Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa hapa dar.

Sasa kuna mtoto mmoja nikawa nimemuelewa mimi namfaham ila yeye anifaham, bac juzi kati nilikutana nae somewhere jirani na napoishi nikamsimamisha tukazungumza kwa uchache akanielekeza maeneo anayoishi mwisho nikaomba namba akanipa sikuhiyo nikamkaushia.

Next day night nikampigia tukaongea sana nikaomba outing kwa kumwambia kwamba nina mengi ya kuzungumza nae dem kachomoa akasema kama sitojali naweza kumwambia hata hapa anaweza kunielewa bac nikatupia vocal dem akanisikiliza kwa umakini sana ila baada ya muda aliniomba ale kwanza then nimchek after 10 minute mimi sikumchek kabisa siku ikapita kesho nikamchek kwenye saa 5 usiku nikamuuliza vp dem kaona shida kutoa jibu kavunga kachoka kaniambia nimuache alale then nimtafute kesho.

Maajabu baada ya pale yule dem ajawahi kupokea cm yangu na text ajibu juzi nimekutana nae ground dem ananionea aibu yani confidence hana kabisa, muda wa kutoka nikamfata nikamuuliza vp kuna shida dem akasema amna shida nikamuuliza mbona cm yangu upokei akasema maybe alikuwa na kazi but amna shida wala sijamkosea chochote nkamwambia kuwa open kama nakukwaza nambie dem akaendelea kusisitiza kwamba nipo sawa na sijamkwaza popote.

So nikamuuliza vp akaniambia tutaongea baadae kwenye cm tukaagana akaondoka, sikumtafuta kama siku mbili ila ground tutaonana mtoto ananiangalia sana halafu kama anakosa comfidence yani tukiangaliana hv anakwepesha macho kwa aibu.

Maajabu jana usiku pia nimemtafuta akupokea cm asubuhi tumeonana ground dem anaona aibu kishenzi halafu ananiangalia sana.

Sasa nashindwa kumuelewa huyu dem vp maana nilishamwambia awe wazi kama namsumbua aseme anasema simsumbui kukubali ajakubali na kukataa ajakataa.

Sasa simuelewi huyu mtoto ananichukuliaje labda kwa anaeelewa anisaidie au aliewahi kukutana na watu wa dizain hii anaweza kunishauri maana mi binafsi nimekwama.

Samahanini nimeandika kwa spidi sana nipo kwenye gari ya jeshi natokea pwani ndani ndani huku
Hawezi kukumbia hakutaki anakupigia mahesabu unamuhitaji kiasi gani akupige mzinga kulingana kiasi unachomthamini then ukimpa aangalie jinsi ya kuendelea kukupiga hadi ukome kumfuatilia.
 
Tafuta mwingine hapo hapo mnapofanya mazoezi. Awe mkali kumzidi hata kama huna mzuka naye jaribu tu kuwa naye karibu muongozane mara kadhaa kwenda mazoezini na kurudi.

Hakikisha huyu unayemfukuzia anaona mnavyoingia na kutoka wote. Pia umkaushie kwa muda.

Utanisimulia baadae matokeo
 
Habari za muda huu wana jf.

Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa hapa dar.

Sasa kuna mtoto mmoja nikawa nimemuelewa mimi namfaham ila yeye anifaham, bac juzi kati nilikutana nae somewhere jirani na napoishi nikamsimamisha tukazungumza kwa uchache akanielekeza maeneo anayoishi mwisho nikaomba namba akanipa sikuhiyo nikamkaushia.

Next day night nikampigia tukaongea sana nikaomba outing kwa kumwambia kwamba nina mengi ya kuzungumza nae dem kachomoa akasema kama sitojali naweza kumwambia hata hapa anaweza kunielewa bac nikatupia vocal dem akanisikiliza kwa umakini sana ila baada ya muda aliniomba ale kwanza then nimchek after 10 minute mimi sikumchek kabisa siku ikapita kesho nikamchek kwenye saa 5 usiku nikamuuliza vp dem kaona shida kutoa jibu kavunga kachoka kaniambia nimuache alale then nimtafute kesho.

Maajabu 😂😂😂 baada ya pale yule dem ajawahi kupokea cm yangu na text ajibu juzi nimekutana nae ground dem ananionea aibu yani confidence hana kabisa, muda wa kutoka nikamfata nikamuuliza vp kuna shida dem akasema amna shida nikamuuliza mbona cm yangu upokei akasema maybe alikuwa na kazi but amna shida wala sijamkosea chochote nkamwambia kuwa open kama nakukwaza nambie dem akaendelea kusisitiza kwamba nipo sawa na sijamkwaza popote.

So nikamuuliza vp akaniambia tutaongea baadae kwenye cm tukaagana akaondoka, sikumtafuta kama siku mbili ila ground tutaonana mtoto ananiangalia sana halafu kama anakosa comfidence yani tukiangaliana hv anakwepesha macho kwa aibu.

Maajabu 😂😂😂jana usiku pia nimemtafuta akupokea cm asubuhi tumeonana ground dem anaona aibu kishenzi halafu ananiangalia sana.

Sasa nashindwa kumuelewa huyu dem vp maana nilishamwambia awe wazi kama namsumbua aseme anasema simsumbui kukubali ajakubali na kukataa ajakataa.

Sasa simuelewi huyu mtoto ananichukuliaje labda kwa anaeelewa anisaidie au aliewahi kukutana na watu wa dizain hii anaweza kunishauri maana mi binafsi nimekwama.

Samahanini nimeandika kwa spidi sana nipo kwenye gari ya jeshi natokea pwani ndani ndani huku
Kwahio hayo ndio mnayofanya mkiwa jeshini huko!
 
Unauliza kakuonaje? Si kakuona boya jamani.

Nawe hayo majibu anayokupa unayaamini kabisa kuwa yuko busy hapokei simu, au kuwa humsumbui na masimu yako hayo ya saa 5 usiku?

Ila mwana, we mtu hajakukubali ndio kwnza unatupia voko inakuwaje unampigia simu usiku saa 5?
😂😂😂😂😂😂😂😂 kamuona ndezi tu au sio!

Hii michezo ya mapenzi ukiwa Amateur ina namna ya pekee ya kukufanya kituko mbele za watu!

Jamaa hajui kuwa demu asipopokea simu zako ni kuwa anapokea za mwenzako ila kwako hayuko interested! Solutiona tafta pisi ingine inayokuelewa usongeshe nayo life
 
Back
Top Bottom