Huyu mdada nimueleweje?

Aina hii ya utongozaji mtaishia kula machangudoa sugu.
Unapewa namba na unaanza kutongoza same day?
Kwa kawaida mimi namuwekea demu mazingira ajae mwenyewe, kinachofuata ni kutafunana tu.
 
Habari za muda huu wana jf.

Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa hapa dar.

Sasa kuna mtoto mmoja nikawa nimemuelewa mimi namfaham ila yeye anifaham, bac juzi kati nilikutana nae somewhere jirani na napoishi nikamsimamisha tukazungumza kwa uchache akanielekeza maeneo anayoishi mwisho nikaomba namba akanipa sikuhiyo nikamkaushia.

Next day night nikampigia tukaongea sana nikaomba outing kwa kumwambia kwamba nina mengi ya kuzungumza nae dem kachomoa akasema kama sitojali naweza kumwambia hata hapa anaweza kunielewa bac nikatupia vocal dem akanisikiliza kwa umakini sana ila baada ya muda aliniomba ale kwanza then nimchek after 10 minute mimi sikumchek kabisa siku ikapita kesho nikamchek kwenye saa 5 usiku nikamuuliza vp dem kaona shida kutoa jibu kavunga kachoka kaniambia nimuache alale then nimtafute kesho.

Maajabu baada ya pale yule dem ajawahi kupokea cm yangu na text ajibu juzi nimekutana nae ground dem ananionea aibu yani confidence hana kabisa, muda wa kutoka nikamfata nikamuuliza vp kuna shida dem akasema amna shida nikamuuliza mbona cm yangu upokei akasema maybe alikuwa na kazi but amna shida wala sijamkosea chochote nkamwambia kuwa open kama nakukwaza nambie dem akaendelea kusisitiza kwamba nipo sawa na sijamkwaza popote.

So nikamuuliza vp akaniambia tutaongea baadae kwenye cm tukaagana akaondoka, sikumtafuta kama siku mbili ila ground tutaonana mtoto ananiangalia sana halafu kama anakosa comfidence yani tukiangaliana hv anakwepesha macho kwa aibu.

Maajabu jana usiku pia nimemtafuta akupokea cm asubuhi tumeonana ground dem anaona aibu kishenzi halafu ananiangalia sana.

Sasa nashindwa kumuelewa huyu dem vp maana nilishamwambia awe wazi kama namsumbua aseme anasema simsumbui kukubali ajakubali na kukataa ajakataa.

Sasa simuelewi huyu mtoto ananichukuliaje labda kwa anaeelewa anisaidie au aliewahi kukutana na watu wa dizain hii anaweza kunishauri maana mi binafsi nimekwama.

Samahanini nimeandika kwa spidi sana nipo kwenye gari ya jeshi natokea pwani ndani ndani huku
Upo sekondari, chuo cha Kati au Chuo kikuu ?
 
Back
Top Bottom