Huyu mdada ananiweka sana...

Kwanza huyo tayari anakuona kama mwanamke mwenzake,ndo maana anakupa mpk vyupi vyake umshikie kwa kua akijua hauna madhara kwake na huku akiendelea kula hela zako mana cha mjinga huliwa na mwerevu.
 
Umegoma na kutaja jkt uliyopitia ili wahusika waifanyie marekebisho [emoji38] hii sio hali ya kawaida kwa tuliopitia jkt
 

Kama anakupenda atakupa ata romance mkuu......Tena ata ukimwambia mpige oral sex atakubali tuu awezi kukuacha uteseke kwa hisia
 
Bwanamdogo, nimekuita hvo coz mie /sis ndo tulikuwa intake ya kwanza kwenda JKT kwa mujibu wa sheria 2013.
Ushauri wangu, Fanya acting!
Tafuta mdada mweleze scenerio nzima, avunge ni gf wako, mpange aje magetton kwako, Then mwambie huyo mdada wa JKT aje kwako, wakikutana hapo ndani we kuwa jasiri, mtabulishe huyo gf wako wa bandia kwa huyo wa JKT then uchek reaction yake, akiwa normal tu na ukaendelea kuwasliana nae kama awali baada ya tukio.....hahahahaa ujue huyo wa JKT hakukubali hata kidogo ko ni kustisha huduma zote awe mshkaj tu, ila akimind basi weka kila kitu clear mwambie hyo yote ni acting kujua kinachoendelea. Ila kuwa gentleman ndo unaweza mambo haya.
 
Kumbe wajinga na matahira yapo mengi. Yan kama kilichokua ndan ya mwili wake alishindwa kuishi nacho ww ulie nje ya mwili wake ndo ataweza kukuvumilia kweli? Huyo yupo kwako kimasilahi tu sio mwanamke mzuri kabsaaa kama alipata ujasiri wa kuua kilichoko tomboni kwake jua akoswi ujasiri wa kukulia ela zako ata kuja kukufanyia jambo baya
 
Hapo kuna mtu unamtunzia wife jiongeze man. Ila inawezekana ndo kipaji chako cha kulea tu tusilaumu sana,
 
Hapa ndo umezidi kuzingua mkuu bora hata usingesema .Afya yake imetetereka kisa abortion jitahidi mkuu akiwa sawa watarudiana tena wewe sijui utajiweka wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…