Huyu mdada ananiweka sana...

Mkuu usikate tamaa,anza kwa kumuomba hata umkumbatie, akiwa anakuja au ukiwa unamuaga wakati anaondoka,utamvuta taratibu acha mambo ya kizamani unaweza ukakuta kuna boya mwenzio atumii hata nguvu anakula tunda.
 
Mmmh Mmmh.... Unampango gani nae?

Hata akikikukubali utaweza mvumilia Japo umefahamu ukweli wake?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpwa kwan ww ndo huyo kwenye avatar? [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona mko kwenye mahusiano ? au mm sielewi maana ya mahusiano ? nyie mko kwenye mahusiano ila sio ya kimapenzi.furahia hiyo hatua na mambo mengine kaza si mpaka afungue mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo aje kukomalia kwako ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…