Huyu mchina noma

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
ImageUploadedByJamiiForums1464436117.002693.jpg
 
Huyo sio mchina, atakua mbongo shombe wa kichina. Wachina wabunifu sana, hata kama watachoma mahindi, watafanya kwa aina tofauti sana na sio kwa hilo jiko.
 
Serikali ya ccm hawezi dhubutu kuwabugudhi wachina. Chochote watafanya lakini ccm wataendelea kukenua meno tu. Ni kama mtu na mchumba wake kipenzi
Duu! ht km ni chuki na ccm hapo umezidi mkuu!! hyo comment yako ni sabab ya hyo picha? km ndivyo hebu bas tujarib kuyachunguza tu mazingira yanayomzunguka huyo mchina , mtazamo wangu hyo picha haijapigwa tz km si Uganda bas ni Kenya au ht Nigeria mana tz hatuna cab zenye mstari wa njano ila hzo nchi nilizoorozesha hapo hapo wao wanazo.
 
Hizo ni Noah mkuu! Kwa arusha najua zinapiga ruti za arusha-Namanga,na zina mistari ya njano hivyo hivyo.
 
Duu! ht km ni chuki na ccm hapo umezidi mkuu!! hyo comment yako ni sabab ya hyo picha? km ndivyo hebu bas tujarib kuyachunguza tu mazingira yanayomzunguka huyo mchina , mtazamo wangu hyo picha haijapigwa tz km si Uganda bas ni Kenya au ht Nigeria mana tz hatuna cab zenye mstari wa njano ila hzo nchi nilizoorozesha hapo hapo wao wanazo.
Hata namba umeshindwa kuiona inaanza na t?
 
Hiyo ni bongo cheki namba ya gari? Tena inaweza kuwa ni taxi za kinondoni zina mstari wa njano
 
Sie c tunaona aibu kila mtu anataka kuwa msanii wa bongo fleva acha ye achome maindi tutakutana mbele y safari
 
Back
Top Bottom