Huyu mchezaji toka Serbia tumepigwa

Kanali G

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
9,902
14,378
Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
 
Sawa, dirisha dogo tutamsajili Makambo
 
Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Wachawi wa Utopolo wameanza kujibinuabinua na kubana bana pua.

Unapoanzisha mada anza kufikiri kwanza!! Yaani mtu hajafanya mazoezi na wenzake mmeanza kushusha lawama.

Mbona funguo hatukuona zikifungua milango juzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom