hao ndo wachaga bana na mashati yao ya vitenge
Kabsaaaawewe utakua mchaga wewe..
teh teh wengine wapo humu humu wewe huwaoni hata miandiko yao???Wewe utakuwa unamsema Augustine Lyatonga Mrema.
wewe utakua mchaga wewe..
Na PickUp zao za kubebea majani ya ng'ombe.
Copy: Nica