Huyu Mchaga nae embu msikie!!!

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,101
Reaction score
51,261
MKE: Mbona umebadilika sana mume wangu?? MUME: Nimekua mweusi nini?? MKE: Hapana toka utoke DAR unaniita MOSHLING, ndio nini?? MUME: Mimi nimewasikia watu wa Dar wanawaita watu DARLING, na mi nikaona nikiwa huku Moshi si vibaya nikuite mke wangu MOSHLING..
 
wachaga wamesoma labda watu wa pwani ndio unawasemea
 

teh teh hapo nilipobold wanatamka Darring Asprin
 
Last edited by a moderator:
wachaga wamesoma labda watu wa pwani ndio unawasemea
wamesoma na kuishi mjini miaka ila wananfurahisha kitu kimoja tu ................................
 
wamesoma na kuishi mjini miaka ila wananfurahisha kitu kimoja tu ................................
Kitu gani hicho kwenye dotts......
 
Hivi hua kuna ngoma ya kimangi?
Mi sijawahi kuiona! Ila nnachokijua ni kwamba , ukipigwa kibao na mwanamke wa kichagga ni lazima ukakandwe majimoto!
 
Reactions: amu
Hivi hua kuna ngoma ya kimangi?
Mi sijawahi kuiona! Ila nnachokijua ni kwamba , ukipigwa kibao na mwanamke wa kichagga ni lazima ukakandwe majimoto!

Hahahaa , mkuu kwanimikono yao ina nakoz
 
lafudhi zao hazibadiliki yaani hata akae miaka 100000000000000 lafudhi kama yupo kishumundu

tehe tehe, inamaana unamzungumzia Chami??
 
angalia usije ukachukuliwa mzima mzima na quatar airforce.
chezea chami weye?
kasema tangu JK aingie madarakani hajasikia kama kuna wezi,majambazi wanaovamia bar na kupora watu.
akasahau nae aliibiwa nyumbani kwake na majambazi hivi majuzi tu..
wachaga wamesoma bwana lugha sio ishu mbona kina nshomile lafudhi haibadiliki? au wangoni....usije kuwatia hasira wkajirusha gorofani kariakoo
tehe tehe, inamaana unamzungumzia Chami??
 
Hii kali! Na wale wa kina Elli? Tangarling! Lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…